Mrisho Gambo (RC): Kama isingekuwa Serikali ya awamu ya 5,kamwe msingeweza kuiona Mvua ya Barafu Arusha

Mrisho Gambo (RC): Kama isingekuwa Serikali ya awamu ya 5,kamwe msingeweza kuiona Mvua ya Barafu Arusha

Dadeki siasa zetu full comedy😃😃😃😃😃mpaka moshi wa fegi unanipalia.
 
Sasa kwani uongo?
Hapana, coz you have dropped that thing....
IMG_20190131_232214.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapoamua kuiunganisha serikali na tukio, ni lazima tuone uhusiano uliopo.
Mfano, ukisema kama si awamu ya tano, wenye vyeti feki wangeendelea kulimong'onyoa taifa. Hapo sawa, kwani tunafahamu ipo jitihada iliyofanywa na serikali ya awamu ya tano katika kufanikisha hilo.
Ila unaposema mvua ya mawe imetokana na awamu ya tano, lazima tuhoji kwa jitihada zipi na kwa maslahi ya nani? Vinginevyo ni mbwembwe ambazo zinaweza kumpelekea msemaji kukufuru kutokana na imani yake.
 
Mwanaume ukizidisha shobo kwa mwanaume mwenzio lazima wengine tubaki na viulizo
 
hawa vijana namashaka na kwa jinsi walivyopata madaraka
 
Viongozi sampuli hii ndiyo wanaitukanisha nchi yetu, shame!!!!!!!!.
 
Kama kweli kasema hivyo basi atakuwa mshida, kwa kuwa mvua ya aina hiyo nilishaiona wakati mwingi hata kabla ya Benjamin William Mkapa kuongoza jahazi letu.

Wewe ni mtetezi wa mabeberu,huna uzalendo kabisa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom