wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kwani upinzani na yeye nani alikufa kweli na akazikwaBaada ya kuua upinzani na yeye kafa,
Ngoma sare
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani upinzani na yeye nani alikufa kweli na akazikwaBaada ya kuua upinzani na yeye kafa,
Ngoma sare
Kaongea kama mtu aliyewahi kuwa kiongozi lakini alishindwa jinsi ya kuwatetea wananchi.“Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa inasema asilimia 8 baadae imekwenda asilimia 15 lakini hayo mambo yamepitishwa ndani ya Bunge hili" Mrisho Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini.
"Lakini ukiangalia tuna changamoto kwenye bima ya afya, tuna changamoto kwenye ajira, manung’uniko ni makubwa. Kazi ya Bunge hili ni kurekebisha sheria, kutoa mapendekezo na ushauri ambao Serikali ikifanyia kazi matumaini yataendelea kudumu kule kwa Watanzania" Mrisho Gambo.
Huyu mpuuzi na mnafiki mkubwa. Yeye wakati wa Ukuu wake wa Mkoa ameshiriki kuwaangamiza Wawekezaji kwenye sekta ya Utalii A town. Leo eti nae anajidai kitoa ushauri! Asubiri 2025 apepete tena mchele.
Hana lolote, Magu angekuwepo asingesema hivyoKaongea kama mtu aliyewahi kuwa kiongozi lakini alishindwa jinsi ya kuwatetea wananchi.
Wabunge wengi wanapenda vitu vya umbea na kuzodoana sanaWasalaam,niende kwenye hoja,wakati mbunge wa Arusha mjini,Mrisho Gambo akichangia kuhusu bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu, jana bungeni.Kwa wenye clip wanisaidie kuiweka kuanzia dk ya 2:30 utagundua aliongea vitu vya msingi sana,hakukuwa na makofi zaidi ya mara moja moja makofi yaliyopigwana na jirani yake Mh. Kingu.Anasema wapinzani wao sio vyama vya siasa bali changamoto za wananchi(sijui legitimacy ya kauli hii),anabainisha kwa miaka mitano Watumishi wamekuwa na malalamiko ya kutoongezewa mishahara wala kupandishwa madaraja na malalamiko ya ajira.Ametaja pia mkanganyo mkubwa wa sheria nne kwenye Uhamiaji,kazi,Uwekezaji na Kodi,na jisnsi ilivyongumu kufanya biashara Tanzania.Anaenda mbali zaidi kwa kuongea Ongezeko la makato ya mkopo kutoka Asilimia 8 mpaka 15,Anabainisha Sheria hizi zote zimepitishwa na bunge hili.
"Wabunge wote kimyaaaa",lipi lengo la Mh.Gambo kwa hotuba hii?Kuna cha kujifunza na kuzingatia pia kwa alichokisema bila kuangalia uhalali wa aliyekisema.
Wapinzani hawakwepeki mkuu Ccm mna Changamoto mbili usijidanganye Wapinzani na Wananchi“Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa inasema asilimia 8 baadae imekwenda asilimia 15 lakini hayo mambo yamepitishwa ndani ya Bunge hili" Mrisho Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini.
"Lakini ukiangalia tuna changamoto kwenye bima ya afya, tuna changamoto kwenye ajira, manung’uniko ni makubwa. Kazi ya Bunge hili ni kurekebisha sheria, kutoa mapendekezo na ushauri ambao Serikali ikifanyia kazi matumaini yataendelea kudumu kule kwa Watanzania" Mrisho Gambo.