Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Kawahi kuwa DC
- Kawahi kuwa RC
- Kawahi kuwa Mwenezi Taifa
- Kawahi kuwa RC.
Soma Pia: Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"
Fuatilia wakati akiwa Itikadi na Uenezi Taifa - kazi aloifanya kwa muda mfupi iliomgeza watu wengi kuipenda CCM - hakuna alipopwaya.
Ukienda na mdundo wa ngoma yake utaangukia mbali.