Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Ongezea utekaji na ushambuliaji wa Lissu.Hii profile ni kubwa sana na kila ashikapo nafasi yoyote hutolewa watu wakiwa na kiu nae. Huwa hawataki aondolewe.
- Kawahi kuwa DC
- Kawahi kuwa RC
- Kawahi kuwa Mwenezi Taifa
- Kawahi kuwa RC.
Soma Pia: Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"
Fuatilia wakati akiwa Itikadi na Uenezi Taifa - kazi aloifanya kwa muda mfupi iliomgeza watu wengi kuipenda CCM - hakuna alipopwaya.
Ukienda na mdundo wa ngoma yake utaangukia mbali.
Kawaambie Wana CCM wenyewe kuwa Makonda kazi ya uenezi ilimshinda uone watakavyokushangaa hadi kuchangia ambulance ya kukupeleka Mirembe!Itikadi na uenezi pia ilimshinda akaishia kutumbuliwa kwa heshima na kupewa ukuu wa Mkoa.
Wakati Gambo ni Mhe. Mjengoni.
Pia ndiye aliyekuwa anamtafutia Waganga Jiwe ili kujizindika, kweli bhana hamuweziHii profile ni kubwa sana na kila ashikapo nafasi yoyote hutolewa watu wakiwa na kiu nae. Huwa hawataki aondolewe.
- Kawahi kuwa DC
- Kawahi kuwa RC
- Kawahi kuwa Mwenezi Taifa
- Kawahi kuwa RC.
Soma Pia: Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"
Fuatilia wakati akiwa Itikadi na Uenezi Taifa - kazi aloifanya kwa muda mfupi iliomgeza watu wengi kuipenda CCM - hakuna alipopwaya.
Ukienda na mdundo wa ngoma yake utaangukia mbali.
Jina lake halisi ni Daudi Bashitehivi nyir mnaomtukuza makonda mnamtukuza kwa lipi?
makonda alihusika katika jaribio la kumwua mwanzao Lissu
makondza ameibaka elimu ana vyeti frki
au tuseme crip hizi za makonda anajifagilia makonda mwenyewe, lakini kimsinga makonda ni shenzi type tu
Haikumshinda labda utakua bawa la wale vyadema waleviItikadi na uenezi pia ilimshinda akaishia kutumbuliwa kwa heshima na kupewa ukuu wa Mkoa.
Wakati Gambo ni Mhe. Mjengoni.
Mavyadema tu ndo hayatokuelewaHii profile ni kubwa sana na kila ashikapo nafasi yoyote hutolewa watu wakiwa na kiu nae. Huwa hawataki aondolewe.
- Kawahi kuwa DC
- Kawahi kuwa RC
- Kawahi kuwa Mwenezi Taifa
- Kawahi kuwa RC.
Soma Pia: Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"
Fuatilia wakati akiwa Itikadi na Uenezi Taifa - kazi aloifanya kwa muda mfupi iliomgeza watu wengi kuipenda CCM - hakuna alipopwaya.
Ukienda na mdundo wa ngoma yake utaangukia mbali.
Alianza kukimbizana na GSM wakachomoa betri.😁Haikumshinda labda utakua bawa la wale vyadema walevi
Hii ndio sifa yake kuu.Ongezea
Ongezea utekaji na ushambuliaji wa Lissu.
Sasa yeye Gambo kashafuatilia vyeti vya Bashite na anavijua kua DAB elimu yake ina mashaka na akampasulia yai hapo hapoFuatilia wakati akiwa Itikadi na Uenezi Taifa - kazi aloifanya kwa muda mfupi iliomgeza watu wengi kuipenda CCM - hakuna alipopwaya.
Ukienda na mdundo wa ngoma yake utaangukia mbali.
Ukisha kunywa supu ya utumbo maongezi yako ni Utumbo tupuHii profile ni kubwa sana na kila ashikapo nafasi yoyote hutolewa watu wakiwa na kiu nae. Huwa hawataki aondolewe.
- Kawahi kuwa DC
- Kawahi kuwa RC
- Kawahi kuwa Mwenezi Taifa
- Kawahi kuwa RC.
Soma Pia: Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"
Fuatilia wakati akiwa Itikadi na Uenezi Taifa - kazi aloifanya kwa muda mfupi iliomgeza watu wengi kuipenda CCM - hakuna alipopwaya.
Ukienda na mdundo wa ngoma yake utaangukia mbali.
Alitunishia na Salaa wa GSM ndio ukawa mwisho wake akatimuliwa mazima, nasubiria press zake zingine akiwa na ZembwelaAlianza kukimbizana na GSM wakachomoa betri.😁