Pre GE2025 Mrisho Gambo tulia, Makonda siyo saizi yako kisiasa - nenda kwenye profile yake utajua hujui

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makonda ni bonge moja la populist na kilqza! Mrisho ni mnafiki na tahira!
Wanaomsifia Makonda asilimia kubwa ni wajinga wenzake wapenda matukio yasiyokuwa na utaratibu wala muendelezo!
 
Hii nchi bana, yaani mtekaji ambaye alitakiwa kuwa jela, anapata watu wa kumtetea
Maajabu... ccm hakuna yeyote anapaswa kutetewa na wananchi.
Wote hawana maadili wala utu! Wanatumia vyeo vyao kama fursa ya kujilimbikizia mali na fimbo ya kuwachapia wananchi!
Corrupt!
 
Haikumshinda labda utakua bawa la wale vyadema walevi
Hahaha alianza kutunishiana na watu wa JK kosa kubwa sana alilofanya mistake kubwa mno wakamlamba kakae Arusha huko sasa huko nako anataka kutibua tena DAB angetulia tu yeye anajijua elimu yake yenyewe ina mashaka sasa ya nini kusumbuana na wenye elimu zisizo na mashaka, yaan watu wa Arusha waingize kilaza Bungeni kweli? DAB anataka kwenda Bungeni hio ndio ndoto yake kubwa aingie Bungeni apewe uwaziri Mkuu au apewe uwaziri wa Fedha hizo ndio ndoto zake kubwa hakuna kingine ila njia ya kuingilia Bungeni ndio anaikosa Kigamboni alikatwa Faustine akapeta nikajua sababu Faustine ame rest in peace basi DAB ataenda tena Kigamboni Dar kwa wababe wake aliozinguana nao waliomfanya akachomolewa Uwenezi na kutimuliwa aende Arusha ila wapi DAB anataka aingie Bungeni kupitia Arusha anazinguana na Gambo sasa ili tu aupate ubunge Arusha DAB anataka kuingia Bungeni na akiingia Bungeni atataka kua Waziri ila hatoishia hapo mwisho DAB atataka akae kwenye kile kiti kikuu
 
Sisi tunahitaji MTU mwenye elimu ya kawaida lkn mwenye uono thabiti na uthubutu wa kutuvusha.
Gambo na Makonda hawalingani hata chembe
 

View: https://www.instagram.com/reel/DGkwR4LSZZk/?igsh=ZThtaDNtcHB3dzU1
Zaidi ya kuwa Mwenezi Kwa mwezi 1 kamzidi nini Gambo huyo kilaza wako?

Mwenzio ni Mbunge na vyeo vyote hivyo amepitia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…