Mrisho Gambo: UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao wakizeeka watakuwa Wachawi!


Sasa amekuwa mchawi yeye.
 
Mwambie achukue
 
Huyu Gambo Mungu msamehe ila usiache mjibu kabla ya huwo uzee na isiwe kwa kificho watanzania wote waone ili sote tujifunze ktk hili.
Nadhani kila mwenye macho ameona kilicho tokea. Mungu huyu tumuogope sana.
 
Kwa hiyo yeye alikuwa sawa tu kuwapelekesha wateule wa Mhe Rais kama yeye alivyoteuliwa?
Inahitaji busara sana na hekima kudeal na wateule wa Rais kama wewe kwa sababu zifuatazo kuu
Moja huwezi ukafukuza kazi hivyo muishi kwa ushirikiano tu.
Lakini pia mheshimiwa Rais mbona alisema sababu wazi wazi tu.
 

Uliandika haya tar 14/6. Bado msimamo wako ni huo huo au umetambua kuwa hakubaliki na viongozi wenzake hata na chama hususan mwenyekiti wa chama.

Utaongozaje kama huwezi kushirikiana na viongozi wenzako. Somo la uongozi ni gumu, sio longolongo tu na kukubalika na vijana wa kijiweni na mashabiki wa simba na yanga.

Kweli fomu yake itapitishwa na kamati kuu chini ya mwenyekiti huyu? Jibu unalo....
 
gambo kumbuka umeumiza wengi sana AR, Kumbuka wana Mungu wanaemlilia. Na Mola hutoa adhabu hapahapa duniani. Ila bado kuna mengi yanakujia hasa utapeli wa kuchangisha fedha uliokuwa unafanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…