Mrisho Gambo: UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao wakizeeka watakuwa Wachawi!

Mrisho Gambo: UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao wakizeeka watakuwa Wachawi!

RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.

Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa Dsm vijana hawakujitokeza kumtetea.
Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.

Gambo yuko Dsm akihudhuria kikao cha UVCCM kwa mwaliko wa RC Makonda.

Maendeleo hayana vyama!

Soma pia > RC Gambo aumbuka. Vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “

Sasa amekuwa mchawi yeye.
 
Best Comment
Screenshot_2020-06-20-08-34-44-954_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg
 
Yani Kama Gambo akichukua fomu anashinda ubunge saa tatu na nusu asubuhi. Anakubalika hapa chuga na wamama wote, vijana, machaliii, yaani mi ndo niwaaambie Sasa, hao uvccm ni wachache wakiongozwa na Trump fake. Hajatangaza Nia ya kuutaka ubunge yeye Gambo, lakini akichukua fomu akapitishwa na chama atashinda kwa kishindo kikubwa sanaaaa
Mwambie achukue
 
Huyu Gambo Mungu msamehe ila usiache mjibu kabla ya huwo uzee na isiwe kwa kificho watanzania wote waone ili sote tujifunze ktk hili.
Nadhani kila mwenye macho ameona kilicho tokea. Mungu huyu tumuogope sana.
 
RC Gambo amewaomba vijana wa CCM washirikiane na kupendana.

Gambo amesema UVCCM kumejaa vijana wanafiki ambao kazi yao kubwa ni kupiga majungu na kuendeleza fitina. Hata RC Makonda alipokuwa anashambuliwa na wapinzani hapa DSM vijana hawakujitokeza kumtetea. Gambo amesema vijana wanafiki wakizeeka wanakuwa wachawi.

Gambo yuko DSM akihudhuria kikao cha UVCCM kwa mwaliko wa RC Makonda.

Maendeleo hayana vyama!

Soma pia > RC Gambo aumbuka. Vijana wa CCM Arusha wamshambulia mitandaoni, aamua “ku left “
Kwa hiyo yeye alikuwa sawa tu kuwapelekesha wateule wa Mhe Rais kama yeye alivyoteuliwa?
Inahitaji busara sana na hekima kudeal na wateule wa Rais kama wewe kwa sababu zifuatazo kuu
Moja huwezi ukafukuza kazi hivyo muishi kwa ushirikiano tu.
Lakini pia mheshimiwa Rais mbona alisema sababu wazi wazi tu.
 
Yani Kama Gambo akichukua fomu anashinda ubunge saa tatu na nusu asubuhi. Anakubalika hapa chuga na wamama wote, vijana, machaliii, yaani mi ndo niwaaambie Sasa, hao uvccm ni wachache wakiongozwa na Trump fake. Hajatangaza Nia ya kuutaka ubunge yeye Gambo, lakini akichukua fomu akapitishwa na chama atashinda kwa kishindo kikubwa sanaaaa

Uliandika haya tar 14/6. Bado msimamo wako ni huo huo au umetambua kuwa hakubaliki na viongozi wenzake hata na chama hususan mwenyekiti wa chama.

Utaongozaje kama huwezi kushirikiana na viongozi wenzako. Somo la uongozi ni gumu, sio longolongo tu na kukubalika na vijana wa kijiweni na mashabiki wa simba na yanga.

Kweli fomu yake itapitishwa na kamati kuu chini ya mwenyekiti huyu? Jibu unalo....
 
gambo kumbuka umeumiza wengi sana AR, Kumbuka wana Mungu wanaemlilia. Na Mola hutoa adhabu hapahapa duniani. Ila bado kuna mengi yanakujia hasa utapeli wa kuchangisha fedha uliokuwa unafanya.
 
Back
Top Bottom