Kama kuna mwanasiasa hajawahi kuiba chochote fedha au kura au kughushi nyaraka yoyote (risiti za manunuzi kwa ajili ya per diem) awe wa kwanza kuwarushia watu wa vyeti feki mawe!
Nachukia kweli system ya kurudia madarasa na mitihani.Hii ni system iliyoingizwa na wasioitakia mema nchi yetu ili tupate watendaji vihiyo.Kama tuko serious kama taifa we should abolish it immediately.Ndio 'fojari' hiyo tuisemayo, mtu unarudia darasa la saba mara 7!! Chuoni ataweza kitu kweli.
Kwa nini zoezi halikufanyika kwa kila mtu anayelipwa kwa kodi ya wananchi?Hivi tumefikia hapa kama jamii kwamba kwamba mtu anazawadiwa kwa kufanya kosa la jinai.
a. Hivi mtu kufoji vyeti kuomba kazi hii ni sawa?! Basi na mimi ngoja nitafute milioni zangu niende mzumbe wakanitengenezee cheti cha PHD ili nionekane msomi wa level hiyo.
b. So tunataka kuwafundisha watoto na wajukuu zetu kuwa ni sawa kufoji vyeti ili kupata kazi. Na reward ya mtu anaefoji vyeti baada ya kugundulika ubadhilifu wake ni kupewa mafao yake na stahiki sawa na mwenye vyeti halali....?!
Sawa sawa hii dunia ni ndogo sana kukaa na watu wapumbavu kwakweli.
Sio tuu hivyo tuseme wanajivua magamba,tunaweza kusema ya green mamba na black mamba waki jaribu kuyavaa magamba ya samaki.Angalao yeye anafaa kwa kitoweo.Dah ama kweli ukishangaa ya Musa utayaona ya firauni
Mkuu naungana na wewe 100%.Kama kiongozi anaweza kusima na kutetea uovu,nikiri kwamba kama taifa tuko njia panda.Hivi tumefikia hapa kama jamii kwamba kwamba mtu anazawadiwa kwa kufanya kosa la jinai.
a. Hivi mtu kufoji vyeti kuomba kazi hii ni sawa?! Basi na mimi ngoja nitafute milioni zangu niende mzumbe wakanitengenezee cheti cha PHD ili nionekane msomi wa level hiyo.
b. So tunataka kuwafundisha watoto na wajukuu zetu kuwa ni sawa kufoji vyeti ili kupata kazi. Na reward ya mtu anaefoji vyeti baada ya kugundulika ubadhilifu wake ni kupewa mafao yake na stahiki sawa na mwenye vyeti halali....?!
Sawa sawa hii dunia ni ndogo sana kukaa na watu wapumbavu kwakweli.
...mhSiku za Mrisho Gambo ccm zinahesabika , nimeangalia mwenendo wake haufanani na mwenendo wa kinyama wa ccm
Kwa hiyo kugushi vyeti ruksa na uovu wowote mwingine ruksa na hakuna haja ya sheria na misahafu,kwa maana ya Biblia na Qur'an ni obsolete!Hivi kwa misimamo hii,jamii,watoto,wajukuu wetu na vitukuu vitarithi nini.A morally bankrupt society!Kama kuna mwanasiasa hajawahi kuiba chochote fedha au kura au kughushi nyaraka yoyote (risiti za manunuzi kwa ajili ya per diem) awe wa kwanza kuwarushia watu wa vyeti feki mawe!
Wakati mwingine Vyama vya siasa muwe mnateua mpeperusha bendera atakae jali utu, anayejari misingi ya haki za binadamu na mwenye hekima! Mtendaji tu haitoshi, ona Sasa Yale ambayo wapinzani waliyatetea wakati wa jiwe huku wakirushiwa maneno ya dhiaka na matusi leo hii mnayaunga mikono, siwalaumu shida mlifungwa midomo kwa kutiwa hofu na yule mleta hofu.Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
Labda na wewe siku yako ni kesho,unajuaje.Mbona njia yetu moja mkuu,hakuna haja ya kumkebehi marehemu.Ingekuwa wewe unaishi milele sawa.Mwendazake huko aliko atakua anahisi joto
Hapo kale, nilikuwa kiongozi kwenye chama chenye kutetea haki za watumishi. Moja ya jambo kubwa ambalo nilijifunza kutokana na kuwa kiongozi wa chama chenye kutetea haki za watumishi ni:Hapo ina maana walifanya pre bargain na DPP? Swala sio kufuata sheria bali kiutu au kiubinadamu ,makosa hata serikali inafanya tena makubwa ambayo tungekuwa tunafata sheria ilitakiwa viongozi wengi wawe jela ila linafunikwa kombe ili mwanaharamu apite.
Man's enthusiasm in praise of a fellow mortal, sooner is damped by his original sin - rebellious pride!Jamaa ameamua kutembea kwenye uhalisia
Ndio funzo hilo, alikuwa anafanya vitu utadhani ataishi milele....Labda na wewe siku yako ni kesho,unajuaje.Mbona njia yetu moja mkuu,hakuna haja ya kumkebehi marehemu.Ingekuwa wewe unaishi milele sawa.
Utakuwa ndondocha labdaTupo marafiki wake wa kudumu
Mkuu aliyegushi cheti fadhila anayo weza kupata akihurumiwa sana ni kutompeleka mahakamani na kutotakiwa kurejesha fedha alizoiba with intetest.Infact wahusika wote walipaswa kuishukuru serikali sana kwa hili.Ni ajabu kwamba badala ya kuishukuru serikali, wanaomba kiinua mgongo tena!In my previous life nilikuwa kiongozi kwenye chama chenye kutetea haki za watumishi. Moja ya jambo kubwa ambalo nilijifunza kutokana na kuwa kiongozi wa chama chenye kutetea haki za watumishi ni:
Pana tofauti baina ya haki na fadhila. Haki hudaiwa. Fadhila huombwa. Katika kutetea watumishi shurti mara zote kujua lengo ni lipi: kupata haki au fadhila. Pasipo kujua hayo, unaweza ukajikuta ni mwenye kudai fadhila au kuomba haki, ambapo, aghalabu, matokeo huja hasi.
Kwa hiyo bwana King Kong III , suala la walioghushi vyeti kulipwa mafao, ni la haki au ni la fadhila?
Na kwa mantiki hiyo ni la kudai au la kuomba?
Hebu Evelyn niambie mambo mabaya ambayo Magu alifanya.Mimi aliyofanya ndiyo yaliyokuwa dream yangu for Tanzania.Ndio funzo hilo, alikuwa anafanya vitu utadhani ataishi milele....
Kiukweli inatakiwa afufuke aangalie mambo yalivyo kisha afe tena
Kwa langu binafsi, sijapanda daraja wala kupandishwa mshahara.... Annual increment ya mwisho niliipata kwa Jk.Hebu Evelyn niambie mambo mabaya ambayo Magu alifanya.Mimi aliyofanya ndiyo yaliyokuwa dream yangu for Tanzania.
Aliwatandika waliofukuzwa vyeti feki mijeledi au?Leo Gambo kawa na utu?
Duuh aliyewaita nyumbu hakukosea!
Huyu huyu Gambo aliyekuwa anawatandika mijeledi Arusha!?
Siyo uonevu tu bali UHAYAWANI na UPUMBAVU.Issue siyo kwamba hawana makosa.
Unapokagua vyeti feki halafu JESHINI na kwa WANASIASA unaacha, zoezi zima linakosa MAANA linabaki ni UONEVU tu.
Kwasababu wameshawafukuza, at least wawape MAFAO yao maana waliyafanyia kazi.