Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
πππππ Yani mtu alieshindwa kuheshimu watu tulio hai, leo aheshimiwe akiwa hapumui....Ntakukata ngebe mpaka ukimbie ukalilie chooni!
Mwanamke gani unashindwa kuheshimu hata waliolala mauti?
Pumbafu sana wewe! Na ungekuwa karibu ningekutandika makofi ukamuonyeshe mmeo!
... imeniuma sana. Ni zaidi ya shetani; rest in hell forever. Binadamu unafikiaje kiwango hiki cha ushetani? Mungu awafute machozi wahusika.
Hayati atabaki hana rafiki huko aliko na hapa duniani.
Mbona hupigi kelele kulaani kwa nini wajeda, wanasiasa hawakuhakikiwa?Haya kazana kutetea majizi!
ajabu sanaHuu ujasiri wameutoa wapi Mataga wa kupinga falsafa za Meko wazi wazi?
Tunatengeneza a failed state Kwa Kasi ya sgrWatanzania wengi wanapenda sana Short cut! Magu alijaribu sana waishi straight lakini wakamuona kama anawabania! Watu hadi kwenye Elimu wao ni short cut tu! Hii ni hatari kubwa sana kwa Taifa!!
Ni miaka 5 tangu wameondolewa kazini. Gambo ulikuwepo nchini na Serikali I. Ulikuwa wapi hukusema haya?Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
Tukianza kutetea watu wenye vyeti vyeki ndo tunajichimbia kaburi maana ilifika mahali mtu juhudi ya masomo hana kwa Kuwa kuna mlango wa kupata cheti feki na walikuwa wanawakjeli wenye kufanya juhudi Kwenye masomoKuna jinga moja jizi la vyeti linaitwa erythrocytes linatetea
The name itself is scarier,, an important cell in the body unabariki vyeti feki
Jamaa seemed to be smart, until I e knew ana vyeti feki
Akamatwe. Yaani ughushi cheti , serkali igundue ili ilikuwa inakulipa kwa taaluma usiyo nayo halafu ikikukamata IKULIPE?
Amejitoa akili aliyesema
Itafika sehemu kubaka akikuibia ukigundua unamlipa
Kwaiyo wewe mwenye akili walipotolewa wezi wewe umeajiriwa au unatupigia kelele wangap wanavyeti na kuchwan hakuna kitu acha kukaririNyie machagadema ni washenzi sana!
Hivi kosa la magufuli ni lipi hapo?
Kuwaondoa wezi wa taaluma ndilo kosa lake?
Ni watu wangapi walikosa fursa za kuajiriwa kwa sababu ya hao wezi waliofukuzwa?
Jamani! Aisee...
Huna akiliKwa kweli aliyewaita nyumbu alikuwa ana maono mapana!
Mnafiki huyu!!! Aende zake huko!!!Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
Wajinga na mabwege tuko wengi ila wewe ni Mkuu wetu.Ulichoandika bwege lolote lenye kujua KK laweza! Jaribu kumzidi hata kwa milimita huyo bwege. Tafakuri mufilisi.
Serkali igundue! Nani aliwaajiri? Alitumia vigezo gani? Aliyewaajiri anajulikana? Kawajibishwaje? Kuna walimu wengi walikuwa waalimu kwa vipaji vyao na sio kisomo chao. Wapo wanajeshi wengi tu pia wamekuwa wanajeshi kihivyo. Wapo waliotumia majina ya wasiopenda kusoma na kufaulu kihalali! Sio kila jina feki ni cheti feki. Utaratibu madhubuti ungetumika na adhabu stahiki kwa kila cheti feki.
Hajasema kuwa si sahihi kuondoa vyeti feki. La, hasha. Wewe unasema ukimshika kibaka unamchoma moto! Unajiona sahihi! Ubwegeo huo. Kukurupuka kulitumika. Misuli alitawala Akili.
Ambaye alifanya kwa maslahi ya taifa ni Nyerere na yeye tu Evelyn.Mkapa na Kikwete were tools of the West.Mwinyi naona kama alikuwa hajitambui.Hivi watangulizi wake hawakua wakifanya kwa maslahi ya taifa Ila yeye tu?
Tatizo la sisi wengi ni kwamba we are egocentric,Mkuu unataka kuniambia hatakutopandisha madaraja, kutokuongeza mishahara kwa watumishi na kutokutoa ajira ilikuwa dream yako??