Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
😂😂😂😂😂 Yani mtu alieshindwa kuheshimu watu tulio hai, leo aheshimiwe akiwa hapumui....Ntakukata ngebe mpaka ukimbie ukalilie chooni!
Mwanamke gani unashindwa kuheshimu hata waliolala mauti?
Pumbafu sana wewe! Na ungekuwa karibu ningekutandika makofi ukamuonyeshe mmeo!
Akaheshimiwe na malaika aliokuwa anatamani kuwaongoza.
Amsalimie Ben saa nane