Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Ntakukata ngebe mpaka ukimbie ukalilie chooni!

Mwanamke gani unashindwa kuheshimu hata waliolala mauti?

Pumbafu sana wewe! Na ungekuwa karibu ningekutandika makofi ukamuonyeshe mmeo!
😂😂😂😂😂 Yani mtu alieshindwa kuheshimu watu tulio hai, leo aheshimiwe akiwa hapumui....
Akaheshimiwe na malaika aliokuwa anatamani kuwaongoza.
Amsalimie Ben saa nane
 
Am sure mtakutana hell kama yuko huko... unatetea wadhambi wa vyeti feki?

... imeniuma sana. Ni zaidi ya shetani; rest in hell forever. Binadamu unafikiaje kiwango hiki cha ushetani? Mungu awafute machozi wahusika.
 
Watanzania wengi wanapenda sana Short cut! Magu alijaribu sana waishi straight lakini wakamuona kama anawabania! Watu hadi kwenye Elimu wao ni short cut tu! Hii ni hatari kubwa sana kwa Taifa!!
Tunatengeneza a failed state Kwa Kasi ya sgr

It is a shame kuona MTU anabariki utapeli kwenye elimu
 
Kuna jinga moja jizi la vyeti linaitwa erythrocytes linatetea

The name itself is scarier,, an important cell in the body unabariki vyeti feki


Jamaa seemed to be smart, until I e knew ana vyeti feki
Tukianza kutetea watu wenye vyeti vyeki ndo tunajichimbia kaburi maana ilifika mahali mtu juhudi ya masomo hana kwa Kuwa kuna mlango wa kupata cheti feki na walikuwa wanawakjeli wenye kufanya juhudi Kwenye masomo

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Hamtendi haki kwa walioumia wakati wakijipatia uhalali wa kupata vyeti. Hakuna busara kwenye forgery. Tena hili zoezi lilitakiwa liende mpaka jeshini, maana jeshi kuongozwa na watu fake ni kukosa uzalendo.
 
Tatizo double standard!

Mbona jeshi wapo wengi hawajawahi kufukuzwa?

Mbona Makonda ana cheti feki hajawahi kufukuzwa?

Kabudi alikuwemo kwenye orodha ya wasio na vyeti hadi leo ni waziri.

Watanzania tuacheni unafiki
Akamatwe. Yaani ughushi cheti , serkali igundue ili ilikuwa inakulipa kwa taaluma usiyo nayo halafu ikikukamata IKULIPE?
Amejitoa akili aliyesema


Itafika sehemu kubaka akikuibia ukigundua unamlipa
 
Halafu humu wengi ni watu msio na uzoefu na kujua tumetoka wapi.

Zamani watu walitumia majina ya watu wengine kusoma.Hilo limewagharimu sana wanyonge waliosemwa wana vyeti feki.

Kwa nini watu kama Mwigulu aliyejulikana kama Madelu hajawajibishwa?Kwa nini mtu kama Kigwangala sio jina lake hajawajibishwa?maana kuna watu walisomea fani zao kwa majina ya watu wengine lakini walitimuliwa kuwa wana vyeti feki.
Walifaulu vipi chuoni iwapo walikuwa feki?
 
Nyie machagadema ni washenzi sana!

Hivi kosa la magufuli ni lipi hapo?

Kuwaondoa wezi wa taaluma ndilo kosa lake?

Ni watu wangapi walikosa fursa za kuajiriwa kwa sababu ya hao wezi waliofukuzwa?

Jamani! Aisee...
Kwaiyo wewe mwenye akili walipotolewa wezi wewe umeajiriwa au unatupigia kelele wangap wanavyeti na kuchwan hakuna kitu acha kukariri
 
Ulichoandika bwege lolote lenye kujua KK laweza! Jaribu kumzidi hata kwa milimita huyo bwege. Tafakuri mufilisi.

Serkali igundue! Nani aliwaajiri? Alitumia vigezo gani? Aliyewaajiri anajulikana? Kawajibishwaje? Kuna walimu wengi walikuwa waalimu kwa vipaji vyao na sio kisomo chao. Wapo wanajeshi wengi tu pia wamekuwa wanajeshi kihivyo. Wapo waliotumia majina ya wasiopenda kusoma na kufaulu kihalali! Sio kila jina feki ni cheti feki. Utaratibu madhubuti ungetumika na adhabu stahiki kwa kila cheti feki.

Hajasema kuwa si sahihi kuondoa vyeti feki. La, hasha. Wewe unasema ukimshika kibaka unamchoma moto! Unajiona sahihi! Ubwegeo huo. Kukurupuka kulitumika. Misuli alitawala Akili.
Wajinga na mabwege tuko wengi ila wewe ni Mkuu wetu.
Nani alikuambia kuwa Kosa la mwingine unalitumia kama kinga kwa makosa yako
Eti unasema kwa kuwa waliajiriwa na mabwege wengine hivyo kwa ubwege huo taifa liendelee kuwakumbatia.
Mnapasua watu kichwa wanaumwa fangasi za miguu muachwe tu kisa ulinunua ajira. Kwendaaaaaaaaaa
Fulani ana cheti feki mpeleke mahakamani umekatazwa kama unaushahidi. Ndoroooboooo
 
Mkuu unataka kuniambia hatakutopandisha madaraja, kutokuongeza mishahara kwa watumishi na kutokutoa ajira ilikuwa dream yako??
Tatizo la sisi wengi ni kwamba we are egocentric,
tunajifikiria sisi tu.Magufuli was not like that.Yeye alikuwa anafikiria Watanzania wote.

Mkuu hivi unajua kwamba kuna watu in Tanzania ambao a days meal is a problem,it seems you don't. Hawa ndio watu ambao Magufuli was most concerned about.Wewe tayari you have a monthly income,kwa nini usifikirie hawa ambao hata a days meal is a problem,kwamba na wao wafanyiwe kitu ambacho angalau kitasaidia kuwa-uplift.Unang'ania tu wewe,wewe wewe?Acheni ubinafsi jamani.
 
Huyu nae unaweka kukuta mke wake alikuwa na cheti fake so anatetea ugali wake
 
Back
Top Bottom