Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Problem raised when he applied double standards , why did let others who had fake certificates ? If that the case ?
 
Kwani hawakufanya kazi ?
 
Kumbuka ilitakiwa wawe wanatumikia kifungo nsaa hivi. Je waliozibiwa nafasi kwa uongo wao? Hivi athari za vyeti feki unazijua wewe au huzijui. Wamepata walichokitafuta.
Cheti cha form four athari yake ni nini ? That's is profession certificate
 
Service gani nzuri walitoa watu wenye vyeti feki? Serikalini kulijaa ubabaishaji na Huduma duni kwa sababu yao.Watoto wengi walikuwa wakimaliza darasa LA saba wakiwa hawajui kusoma wala kuandika sababu yao.Ufaulu ulikuwa mdogo mno ukilinganisha na sasa baada ya walimu wenye vyeti feki kutimuliwa hakuna service yoyote ya maana waliyokuwa wakitoa
 
Someni

Acheni kushabikia vyeti feki
 
Yote hayo comes down to not looking at things in the long perspective.Tuone kwamba yote aliyofanya baadae yata-create employment.Evelyn naomba tuwe na mawazo mapana zaidi,and let us stop being egocentric.
Baadae ya Lini ?
 
Baadae ya Lini ?
Ukiona nchi za Ulaya zimepiga hatua kimaendeleo, pamoja na uovu wa walio-asisi maendeleo hayo,siri yao kubwa ni kuwa na na maono na mipango ya muda mrefu,infact millennia.Eti sisi tunakuwa na mipango ya miaka mitano,ni vichekesho.

Hata hivyo sijasema msiongezwe mishahara na hata yeye huo hakua mpango wake,lakini
I am sorry to say wafanyikazi mko too short sighted,hamna maono ya muda mrefu kabisa,you want everything now.Tabia hii ikichanganyika na egocentrism mliyo-nayo, it makes matters worse.

Mbaya zaidi sasa,ninyi ndio engineers wa maendeleo yetu!Tutafika kweli?Hivi kwa nini mnashindwa kutambua kwamba aliyokuwa anafanya Magufuli ilikuwa kwa faida yenu,watoto wenu,wajukuu wenu,vitukuu na ndugu zenu wengine?Mimi inaniumiza kwa kweli.
 
Gambo anataka matapeli walipwe,watu waliofoji na kuidanganya serikali saingine wakahatarisha mpaka maisha ya watu (mfano wale waliozamia afya) Leo eti walipwe!! Hajui ukifukuzwa unapoteza haki zako.
Mwambieni achuje mambo anayopata vijiweni asilete mada za kitoto.
 
Wajinga na maneno yao ya kijinga kwendaaa na ndorooooobo badala ya hoja. Hoja ni hiyo tu ya fulani ana cheti feki iseme mahakama. Mengine ni kukurupa kama na wewe unavyokurupuka kutetea ujinga na udhalimu wa serkali ya mteuzi wa Gambo!
 
Kukurupuka kimawazo ni kukurukakara isiyo na tija. Hakuna anayetetea vyeti feki. Inapingwa njia iliyotumika kuondosha wenye vyeti feki. Two wrongs do not make a right! Vyeti feki ni moshi. Upatikanaji wake ni moto. Tungeondoa moto.
 
Hebu Evelyn niambie mambo mabaya ambayo Magu alifanya.Mimi aliyofanya ndiyo yaliyokuwa dream yangu for Tanzania.

Kwani form four ni elimu ya proffession ?
 
Narudia tena.... wale sio kwamba walikuwa hawana taaluma...kosa walilofanya wengi wao wamesoma kutumia vyeti vya form IV vyenye majina ya watu wengine... zamani kulikua na walimu wa UPE wengine hata certificate hawana lkn mbona hawakufukuzwa na walikuwa walimu mazuri tu. Huduma mbovu sio sababu wasomi wengi tu maofisini wanashindwa kuzitoa. Jeshini na polisi ndo kwenye vyeti feki sasa wanafoji vyeti na hawajawah hata kujiendeleza...huko ndo mpambane kuwatoa. Nishawah kukutana na mkuu moja wa gereza anashindwa hata kuandika jina lake vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…