King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sijasema hivyo,I am just wondering whether he did that at all,maana wabongo mkiwa vijiweni mnadanganyana sana.It could be mere hear say.
Somo la pili nililofundishwa katika harakati za kutetea wafanyakazi, ni kwamba kila kesi ijitegemee yenyewe. Hakuna kusema, "mbona fulani naye alifanya hivyohivyo mkamuacha!" Ukisema hivyo, mamlaka husema, wale nao walikosea. Tutawachukulia hatua kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu. Na huyu unayemtetea kwa kuwa mmekiri naye alikosea, naye tunamhukumu ipasavyo.Hilo zoezi alijaendeshwa kihaki ,kama Makonda,mwigulu,palamagamba,kigwangala na jiwe wangeondolewa hapo ningeona zoezi liliendeshwa kiha ila wamepunguza tu wafanyakazi kwa vigezo vya kubumba ,basi walipwe mafao yao.
Labda tuanzie na uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020. Tuone nani atasalimika hapo. Hii nchi imejaa wasanii, matapeli, waongo n.k.Sheria inasemaje kuajiri aliyegushi cheti.Nani mwenye makosa Kati ya muajiri na mwajiriwa?
Somo la pili nililofundishwa katika harakati za kutetea wafanyakazi, ni kwamba kila kesi ijitegemee yenyewe. Hakuna kusema, "mbona fulani naye alifanya hivyohivyo mkamuacha!" Ukisema hivyo, mamlaka husema, wale nao walikosea. Tutawachukulia hatua kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu. Na huyu unayemtetea kwa kuwa mmekiri naye alikosea, naye tunamhukumu ipasavyo.
Kwa hiyo, siyo tu hujui iwapo unachotaka ni stahiki au ni fadhila; bali pia unakiri kuondolewa kwa wenye vyeti feki kulikuwa ni sahihi, isipokuwa tu pana wachache 'waliosahauliwa'. Kwa mbinu hizo ndugu yangu, hawa tunaowatetea hawatapata mafao.
Mimi siko serikalini and I will never be.... Na sikubaliani na vyeti feki regardless ya stage ya kugundulikaTatizo liko kwako wewe unaekurupuka kutetea upumbavu. Hili lisingeleta madhara Kama wangeweka mfumo ambao ungezibiti hali hiyo.
Wasinge wasumbua watu Kama kuna ajira serikali wanaoomba majina yao yakahakikiwe necta Kama form 4 ni professional sio kunyanyasa watu.
Kumbukeni madhara mliyosababishia Jamii ni makubwa kuliko muafaka wenu mliokuwa mnautafuta. Na ndiiyo maana tunawaita wakurupukaji.
Yaani mnatengeneza vifo, wananchi wako wafe? Ni ajabu kweli.
Kwa nchi nyingi waliposikia hili zoezi walishtuka sana. Muwaombe Hawa watu msamaha kwa kweli.
Thanks mkuuChifu kama zoezi lingeanda haki bin haki wangebaki wachache sana serikalini,hauwezi kuondoa vyeti feki halafu kada nyingine ukaacha,zoezi lile lilikuwa na lengo la kupunguza wafanyakazi tu....Kama vyeti feki basi ingekula kuanzia police,jwtz,tiss,magereza,jkt lakini hao hawajaguswa ,kwanini hawakuwagusa? Hapo ndipo naposema lile zoezi halikuwa la haki.
Hata kama huko kweli hawakukaguliwa, hii inasaidia nini kwa waliobambwa wamefoji kule kwenye STK na SU, katika kudai haki / kuomba fadhila za mafao yao?Ilikuwaje jkt,tiss,jw,police hawajakaguliwa?
awe makini maana jiwe anaweza shuka na kina Metatron, Mikaeli na Gabrieli akadili nao!Daah, mwendazake akipiga chabo huku duniani atashangaa sana kuona kila mtu anajitenga na maamuzi yake na kumuita mkurupukaji
Hata kama huko kweli hawakukaguliwa, hii inasaidia nini kwa waliobambwa wamefoji kule kwenye STK na SU, katika kudai haki / kuomba fadhila za mafao yao?
Wakati mnawatetea wenye vyeti feki,wakumbukeni pia waliokosa hizo kazi na kuishi maisha ya taabu kwa kipindi chote hicho kwa kudhulumiwa haki ya kupata hizo nafasi japokuwa walisota kuitafuta elimu.Nadhani roho mbaya ya Mwendazake haijawahi kuwepo Afrika, hata Idd Amini hafiki, laana kubwa sana!
CCM wanaanza kupata akili sasa, japo unafiki na uzandiki hawawezi kuacha.
Wabunge wa CCM sasa wameona jambo lililobakia ni kutafuta "KIKI YA KUKUBALIKA MAJIMBONI", wakiendelea na "BENDI YA MAREHEMU KUIMBA MAPAMBIO" inakula kwao uchaguzi ujao.
Ama kweli tutajionea mengi katika utawala wa Mama Samia.
Nadhani roho mbaya ya Mwendazake haijawahi kuwepo Afrika, hata Idd Amini hafiki, laana kubwa sana!
Kwa hili swala vyeti sio la kitoto. Hapa unachezea maisha ya Jamii.Mimi siko serikalini and I will never be.... Na sikubaliani na vyeti feki regardless ya stage ya kugundulika
Mwenye akili fupi kama wewe hataelewa
Kwenye Sheria, hata jinai ya miaka Mia iliyopita ikikuhusu utailipia Tu
I hate fake certificates, nibfraud Tu just like any other fraud
Vyeti fake vina wahusika wawili. Kuna aliyekileta (ambaye kishafukuzwa) na kuna aliyekipokea.Mimi siko serikalini and I will never be.... Na sikubaliani na vyeti feki regardless ya stage ya kugundulika
Mwenye akili fupi kama wewe hataelewa
Kwenye Sheria, hata jinai ya miaka Mia iliyopita ikikuhusu utailipia Tu
I hate fake certificates, nibfraud Tu just like any other fraud
Wakati mnawatetea wenye vyeti feki,wakumbukeni pia waliokosa hizo kazi na kuishi maisha ya taabu kwa kipindi chote hicho kwa kudhulumiwa haki ya kupata hizo nafasi japokuwa walisota kuitafuta elimu.Nadhani roho mbaya ya Mwendazake haijawahi kuwepo Afrika, hata Idd Amini hafiki, laana kubwa sana!
Inafika mahala watu hata hamjui mnahitaji nini,wakati unaandika hayo lazima uzingatie pia sheria inasemaje,vingonevyo utakuwa unatoa upendeleo kwa wavunja sheria na kulinyim kundi lingine haki.Waliobomolewa nyumba zao walipwe fidia.
Waliofukuzwa vyeti warejeshewe au walipwe chao maana walitoa nguvu zao kutumika.
Wa bureau de change warejeshewe pesa zao
No doubt, hata Magufuli mwenyewe PhD yake ni ya plagiarism. Imagine Ben Saanane alipoihoji akakamatwa na kikundi cha Makonda na kupelekwa kwa Mwendazake. Aliposisitiza kutaka uhakika yasemekana Magu mwenyewe alim shoot kwa bastola yake.Hakuna! HAta kama kuna nduguyo, ni fundisho kwamba ktk maisha fuata sheria na mpangilio. Yaani unaajiliwa kwa cheti feki, ukifukuzwa leo unakuja na wazo la kumwita mtu shetani! NOOOO! Ni upumbavu kutaka veti feki walipwe.
Hio sheria ya dabo standard yafaa nn sasa.Ukiamua kuwatoa wa shida ya vyeti toa kada zote sio wengine sababu ni maswaiba uwagusi.Hao wa vyeti wengine wapo waliojariwa toka enzi ya Nyerere, wengine wamemfundisha na akafaulu.Mtu kama dereva, mhudumu,mfagizi, daktari waliokaa darasani na ni wataalamu wazuri hio vyeti tena vya form four na sio vya taaluma vinasaidia nn.Mbona wapo sekta binafsi wengine botswana kenya wengine nje ya nchi na wanafanya Kazi nzuri vizuri tu.Dunia ya kutazama vyeti na sio taaluma ilishapita dunia uangalia ufanisi wako na sio cheti chako kaweke kabatini au kwenye frem ukutani.Wengi wa vyeti waliajiriwa zamani JK alipogundua alisema waache wamalize batch yao ila kuanzia sasa kuweni makini.Wakati mnawatetea wenye vyeti feki,wakumbukeni pia waliokosa hizo kazi na kuishi maisha ya taabu kwa kipindi chote hicho kwa kudhulumiwa haki ya kupata hizo nafasi japokuwa walisota kuitafuta elimu.
Huu unafiki ndio unaorudisha nyuma maendelelo ya bara hili.
Wakati mnatetea kufukuzwa kazi,hamkumbuki kuwa kufoji vyeti ni kinyume cha sheria za nchi pia,walitakiwa wahukumiwe kwa mujibu wa sheria.
Inafika mahala watu hata hamjui mnahitaji nini,wakati unaandika hayo lazima uzingatie pia sheria inasemaje,vingonevyo utakuwa unatoa upendeleo kwa wavunja sheria na kulinyim kundi lingine haki.
Kwann wengine wameachwa ?Hakuna! HAta kama kuna nduguyo, ni fundisho kwamba ktk maisha fuata sheria na mpangilio. Yaani unaajiliwa kwa cheti feki, ukifukuzwa leo unakuja na wazo la kumwita mtu shetani! NOOOO! Ni upumbavu kutaka veti feki walipwe.