Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Wangapi unaowafahamu waliajiriwa kujaza nafasi hizo za wenye vyeti feki?
 
Nikuulize kosa ni la nani Kama sheria zilikuwa zinatumika?

Umepata jibu wakulaumiwa ni nani.
Tatizo la awamu ya mwendazake ilikuwa ni majivuno na kutaka masifa bila kujua madhara yake.

Kuongoza jamii inabidi ujitambue, sio watoto. Hata Kama ukiwa nyumbani una watoto wako ukaona kuna mtoto anatabia ambayo haikuriehishi lazima uangalie na wengine. Kama kuna baadhi lazima utafute mbinu ya kutatua Hilo tatizo sio kuwafukuza. Ukiwafukuza ndio wanapata nafasi ya kukudhalilisha.

Ukiona kiongozi ameshindwa kuongoza ujie hata nyumbani kwake kunamshinda.

Tatizo ni sheria zetu hazimgusi mwajiri. Wanajifanya ni wafalme. Ufalme ni geneza tu.

Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake Kama sheria itatumika. Ila uzembe wa vyeti feli usirudiwe Tena. Jamii ni tofauti familia.
 
You are right
 
Siko serikalini, sina mamlaka yoyote kwahiyo usinijumuishe
 
Akamatwe. Yaani ughushi cheti, serkali igundue ili ilikuwa inakulipa kwa taaluma usiyo nayo halafu ikikukamata IKULIPE?
Amejitoa akili aliyesema


Itafika sehemu kubaka akikuibia ukigundua unamlipa
Mkuu hao wafanyakazi waliajiliwa kwa mjibu wa Sheria na wakapewa barua.
Sheria inataka ukiachishwa kazi kwa sabsbu yoyote iwe kustaafu, kufukuzwa nk lazima upewe barua. Sasa Hawa wenzetu NI wangspi walipewa barua?
Hivi kesho akijihimu na kwenda kazini utamwambia nini? Utawala wa Hayati ilikuwa na double standard nyingi
 
Usihamishe mjadala.

Ndio maana mnaitwa nyumbu nyie.

Hamjitambui.
Mkuu utakuwa na matatizo sana, yaani wewe unaamisha mjadala lakini unaona mwenzako ndiye anahamisha? Wew na jiwe hakuna tofauti ndiyo maana hata akili zenu ni zilezile
 
Huo utetezi wako hauna afya kabisa
 

Kunywa Heineken ntalipa boss
 
Ana hoja ile namna ya kuitetea na kushawishi bado hajawa vizuri
 
Kuwa na vyeti feki ni kosa.
Kuwanyima hata mafao yao ni kukosa ubinadamu.
Binadamu huwa wanafanya makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…