Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

Mrisho Gambo: Vyeti Feki walipwe, Serikali ilikurupuka!

hamna kitu kinachosikitisha kama unahangaika darasani, unasugua dawati ili upate maksi za kukufikisha chuo mtu anafoji cheti kuanzia sekondari mpaka Chuo na kisha anajiwekea matokeo mazuri na anapata kazi, huo ni udanganyifu na siku zote usifanye dhuluma ukitaraji utalipwa jema...waliofukuzwa hawakustahili kupata hata senti walichopata kinawatosha

aim for the stars
 
malipo pekee yaliyowafaa ni kupewa uhuru, vinginevyo ilipaswa wafunguliwe mashtaka kabisa kwa kuidanganya serikali

aim for the stars
 
inasemekana hata shetani kamkimbia .
IMG_uhmqdo.jpg
IMG_uhmqdo.jpg
 
Siku za Mrisho Gambo ccm zinahesabika , nimeangalia mwenendo wake haufanani na mwenendo wa kinyama wa ccm
Nani kakudanganya?!!mara hii umeshasahau madhira aliyoyaleta pale Arusha!!
Kama hujui CCM wanaijua kuicheza siasa katika nyanja zote,bungeni wapo peke yao tu!! Wameona ili bunge liweze kuaminika na kufatiliwa na wananchi wengi.
Lazima wengine wajigeuze "wapinzani" katika ujengaji wao wa hoja,ili kuteka akili za wananchi,lakini mwisho wa siku mambo ni yale yale kwa manufaa ya chama chao kuendelea kujichimbia madarakani.
Nashangaa unashindwa kung'amua huu mchezo wa siasa!! anyway kuongoza na kuridhisha watanzania ni lahisi mno,endelea kuamini maneno ya mganga wa kienyeji kuwa ukilala na kobra kitandani hawezi kukudhulu.
 
Tunatengeneza a failed state Kwa Kasi ya sgr

It is a shame kuona MTU anabariki utapeli kwenye elimu
Kwani unamlau nani? Wewe mawazo yako ni Kama mavi yanayoingia chooni. Badala ya kuangalia chanzo Cha hayo mavi unangamgania mavi. Utanuka ni afadhali ukae kimya.

Nikwambie wazi afadhali unaempiga vita kuliko akili yako. Jipime kwa Nini kila mtu anakuchamba na kukuacha.

Nyinyi ndio wale akina Veronika hamjui hii nchi kila mtu ana mawazo huru mliowapa hata kuajiri.

Miaka yote kwa Nini hamkujifunza kwamba kina watu wanaajiriwa wenye vyeti feki? Nakwambia ningekuwa kwenye Hilo kundi nimgekufunga.

Iliniuma sana baada ya kuona walimu wangu wawili na tunashukuru tumewasaidia na wanaishi.

Nyinyi muishi na ushetani wenu.
 
Kwani unamlau nani? Wewe mawazo yako ni Kama mavi yanayoingia chooni. Badala ya kuangalia chanzo Cha hayo mavi unangamgania mavi. Utanuka ni afadhali ukae kimya.

Samahani watanzania wenzangu msione nawatukana. Mnisamehe huyu mtu anajifanya kuwa ni msomi anajifalagua kuwa ni mwelewa wakati walifanya upumbavu wao wenywe.

Ukitaka kujua huyu ni mhuni au ni dalali wa mtaani na ndio walioharibu hii nchi, Wakati hao wanaowasema vibaya ndiyo walisaidia taifa hili, ndio wakunga walioajiriwa na wamesaidia taifa mpaka leo, waliwazalisha mama zetu ndiyo maana sisi tupo, wametupa elimu sisi watanzania leo hii tunajitambua.

Basi Kama tunamwona ni mwizi basi aliefanya makosa ni mwajiri wa kwanza Mwl Nyerere alipoajiri upe. Kwani kulikuwa hakuna wasomi? Badala ya kufuta mfumo wanashambulia watu na mfumo waliweka wao wenyewe.

Leo wanaona hafai ni mwizi, wakati alimtetea maisha yake wakati hajitambui. Leo kaitambua chupi na boxsa anamdharau aisee.

Sipendagi mazarau ndugu yangu napenda kujua chanzo kabla ya kuhukumu.
Kumbukeni kwenye tukio hili watu wamekufa, lilivunja ndoa za watu, watu familia zimefarakana na marafiki zao, familia nyingi zimeumia, watt, baba, mama, ndugu n.k

Nikwambie wazi afadhali unaempiga vita kuliko akili yako. Jipime kwa Nini kila mtu anakuchamba na kukuacha.

Nyinyi ndio wale akina Veronika hamjui hii nchi kila mtu ana mawazo huru mliowapa hata kuajiri.

Miaka yote kwa Nini hamkujifunza kwamba kina watu wanaajiriwa wenye vyeti feki? Nakwambia ningekuwa kwenye Hilo kundi nimgekufunga.

Iliniuma sana baada ya kuona walimu wangu wawili na tunashukuru tumewasaidia na wanaishi.

Nyinyi muishi na ushetani wenu.
 
Wanatakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa na serikali kama mishahara nk na wafunguliwe kesi ya wizi na uhujumu uchumi yaani gambo anatetea wezi aiisee.Hawa waliwanyima haki ya kuajiriwa watu wenye sifa zao wakes as a babushka mateso makubwa na familia zao.Nashukuru wabunge hawakumpigia makofi walikuwa wanamshangaa tu.Ana upeo mdogo sana Wa uelewa
Kama warudishe mishahara yote ya waliofanyia kazi...basi hakikisheni na nyie mnairudisha service yote aliyowapa.. kama ni Mwalimu na alifundisha darasa la saba wakafaulu...disqualify wote somo alilofundisha... utasemaje mwalimu kafoji foji half kazi yake ikawa sahihi.. naamini angekua ni mzazi wako kabakiza miaka miwili kustaafu halafu una wadogo zako bado wanahitaji kusoma usingeropoka ujinga kama huu. Sidhani kama umefikiria for a second ni familia ngapi tegemezi wameathirika. Na wengi walitumia vyetu yenye majina ya watu kusoma lakini siyo kwamba hawana taaluma. Watangulizi walilijua hill ndo maana waliacha wamalize muda wao kwa kua wengi wao ni watu wazima. Imagine unamfukuza dereva after 25 yrs ya kuendesha wakuu wa serikali na hajawahi hata kupata accident...cheti ndo kilikua kinaendesha gari? Miaka yote ulipokua unamlipa mshahara na ukapokea service yake na ukamkata mshahara wake aliutumikia...kwanini leo usimpe haki yake..hyo ni dhulma..kama huwezi kumrudishia nguvu zake na alichokupa na wewe usimdhulumu chake.
 
Nyie machagadema ni washenzi sana!

Hivi kosa la magufuli ni lipi hapo?

Kuwaondoa wezi wa taaluma ndilo kosa lake?

Ni watu wangapi walikosa fursa za kuajiriwa kwa sababu ya hao wezi waliofukuzwa?

Jamani! Aisee...
Mkuu unang'akang'aka kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini kilichonyooka huku umepakatwa na kupapaswa. Jeshini, polisi vyeti feki ni vingi mbona akuwafukuza kazi? Makonda mbona akumfukuza? Yeye mwenyewe kafoji phd. Mnakera sana hamna hata aibu kutetea uovu humu. Lijitu licha ya cheo chake kikubwa linaiba rambirambi. Limekufa limeenda zake na halitarudi tena.
Kwishaaaaaaa

Nyambaf
 
Kwani unamlau nani? Wewe mawazo yako ni Kama mavi yanayoingia chooni. Badala ya kuangalia chanzo Cha hayo mavi unangamgania mavi. Utanuka ni afadhali ukae kimya.

Nikwambie wazi afadhali unaempiga vita kuliko akili yako. Jipime kwa Nini kila mtu anakuchamba na kukuacha.

Nyinyi ndio wale akina Veronika hamjui hii nchi kila mtu ana mawazo huru mliowapa hata kuajiri.

Miaka yote kwa Nini hamkujifunza kwamba kina watu wanaajiriwa wenye vyeti feki? Nakwambia ningekuwa kwenye Hilo kundi nimgekufunga.

Iliniuma sana baada ya kuona walimu wangu wawili na tunashukuru tumewasaidia na wanaishi.

Nyinyi muishi na ushetani wenu.
Mkundu umeongea

Clap clap
 
Mkuu unang'akang'aka kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini kilichonyooka huku umepakatwa na kupapaswa. Jeshini, polisi vyeti feki ni vingi mbona akuwafukuza kazi? Makonda mbona akumfukuza? Yeye mwenyewe kafoji phd. Mnakera sana hamna hata aibu kutetea uovu humu. Lijitu licha ya cheo chake kikubwa linaiba rambirambi. Limekufa limeenda zake na halitarudi tena.
Kwishaaaaaaa

Nyambaf
Jeshi waliondoa vyeti feki
 
Jeshi waliondoa vyeti feki
Qengay nyie hamna hata aibu mijitu mizima mnatetea unjinga na kuita wengine nyumbu. Makonda ana vyeti feki mbona hakumfuza, yeye kafoji phd mbona likujiuzulu, jeshini na polisi wote ni watumishi na vyeti feki kibao mbona hakuwafukuza. Kulikuwa na haja gani sasa la zoezi la vyeti feki kwani waliomtangulia hawakuliona. Ndo maana limekufa kwa aibu. Ni jitu la ajabu kuwahi kutokea kifo chake na nilikitabiri humu limeanda na halitarudi.

Nyambaf
 
Akamatwe. Yaani ughushi cheti, serkali igundue ili ilikuwa inakulipa kwa taaluma usiyo nayo halafu ikikukamata IKULIPE?
Amejitoa akili aliyesema

Itafika sehemu kubaka akikuibia ukigundua unamlipa
No , vyeti feki vingi ni vya form four na sio vyeti vya taaluma( chuo)
 
Katika hili hapana. Magufuli alikuwa sahihi.

Tunaweza kumkosoa kwa mengine lakini hili hapana. Tuache kuwa wapuuzi.

Haiwezekani nchi ikawa inaajiri na kulea lea watu waliofoji vyeti na kufanya udanganyifu wa kitaaluma.

Hao wezi walipaswa kushitakiwa na kulipa gharama zote za liabilities walizosababisha.

Walipwe?? MAJIZI yalipwe!? Kweli?
Mbona hakuwatoa polisi na jeshi ?
 
Back
Top Bottom