BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,043
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
Mwendazake katika suala hili alichemka sana. Labda kwa vile alitubu kabla ya kwenda zake, Mungu amemsamehe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
sarakasi za Maisha zinatisha sana ! huyu alikuwa ndio afisa manunuzi wa ccm huku akitamba kutumia dola kushinda uongozi , lakini muda mfupi sana kapukutika mithili ya majivu kwenye upepo mkali !
Nani kakudanganya?!!mara hii umeshasahau madhira aliyoyaleta pale Arusha!!Siku za Mrisho Gambo ccm zinahesabika , nimeangalia mwenendo wake haufanani na mwenendo wa kinyama wa ccm
Nani kakudanganya?!!mara hii umeshasahau madhira aliyoyaleta pale Arusha!!Siku za Mrisho Gambo ccm zinahesabika , nimeangalia mwenendo wake haufanani na mwenendo wa kinyama wa ccm
Kwani huko private wanakubali vyeti feki?🤣🤣🤣Sijawahi kuomba kazi kwenye serikali yenu
🤣🤣🤣Kwa kweli aliyewaita nyumbu alikuwa ana maono mapana!
Ni k
Kwani unamlau nani? Wewe mawazo yako ni Kama mavi yanayoingia chooni. Badala ya kuangalia chanzo Cha hayo mavi unangamgania mavi. Utanuka ni afadhali ukae kimya.Tunatengeneza a failed state Kwa Kasi ya sgr
It is a shame kuona MTU anabariki utapeli kwenye elimu
Kwani unamlau nani? Wewe mawazo yako ni Kama mavi yanayoingia chooni. Badala ya kuangalia chanzo Cha hayo mavi unangamgania mavi. Utanuka ni afadhali ukae kimya.
Nikwambie wazi afadhali unaempiga vita kuliko akili yako. Jipime kwa Nini kila mtu anakuchamba na kukuacha.
Nyinyi ndio wale akina Veronika hamjui hii nchi kila mtu ana mawazo huru mliowapa hata kuajiri.
Miaka yote kwa Nini hamkujifunza kwamba kina watu wanaajiriwa wenye vyeti feki? Nakwambia ningekuwa kwenye Hilo kundi nimgekufunga.
Iliniuma sana baada ya kuona walimu wangu wawili na tunashukuru tumewasaidia na wanaishi.
Nyinyi muishi na ushetani wenu.
Kama warudishe mishahara yote ya waliofanyia kazi...basi hakikisheni na nyie mnairudisha service yote aliyowapa.. kama ni Mwalimu na alifundisha darasa la saba wakafaulu...disqualify wote somo alilofundisha... utasemaje mwalimu kafoji foji half kazi yake ikawa sahihi.. naamini angekua ni mzazi wako kabakiza miaka miwili kustaafu halafu una wadogo zako bado wanahitaji kusoma usingeropoka ujinga kama huu. Sidhani kama umefikiria for a second ni familia ngapi tegemezi wameathirika. Na wengi walitumia vyetu yenye majina ya watu kusoma lakini siyo kwamba hawana taaluma. Watangulizi walilijua hill ndo maana waliacha wamalize muda wao kwa kua wengi wao ni watu wazima. Imagine unamfukuza dereva after 25 yrs ya kuendesha wakuu wa serikali na hajawahi hata kupata accident...cheti ndo kilikua kinaendesha gari? Miaka yote ulipokua unamlipa mshahara na ukapokea service yake na ukamkata mshahara wake aliutumikia...kwanini leo usimpe haki yake..hyo ni dhulma..kama huwezi kumrudishia nguvu zake na alichokupa na wewe usimdhulumu chake.Wanatakiwa warudishe pesa zote walizowahi kulipwa na serikali kama mishahara nk na wafunguliwe kesi ya wizi na uhujumu uchumi yaani gambo anatetea wezi aiisee.Hawa waliwanyima haki ya kuajiriwa watu wenye sifa zao wakes as a babushka mateso makubwa na familia zao.Nashukuru wabunge hawakumpigia makofi walikuwa wanamshangaa tu.Ana upeo mdogo sana Wa uelewa
Mkuu unang'akang'aka kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini kilichonyooka huku umepakatwa na kupapaswa. Jeshini, polisi vyeti feki ni vingi mbona akuwafukuza kazi? Makonda mbona akumfukuza? Yeye mwenyewe kafoji phd. Mnakera sana hamna hata aibu kutetea uovu humu. Lijitu licha ya cheo chake kikubwa linaiba rambirambi. Limekufa limeenda zake na halitarudi tena.Nyie machagadema ni washenzi sana!
Hivi kosa la magufuli ni lipi hapo?
Kuwaondoa wezi wa taaluma ndilo kosa lake?
Ni watu wangapi walikosa fursa za kuajiriwa kwa sababu ya hao wezi waliofukuzwa?
Jamani! Aisee...
Mkundu umeongeaKwani unamlau nani? Wewe mawazo yako ni Kama mavi yanayoingia chooni. Badala ya kuangalia chanzo Cha hayo mavi unangamgania mavi. Utanuka ni afadhali ukae kimya.
Nikwambie wazi afadhali unaempiga vita kuliko akili yako. Jipime kwa Nini kila mtu anakuchamba na kukuacha.
Nyinyi ndio wale akina Veronika hamjui hii nchi kila mtu ana mawazo huru mliowapa hata kuajiri.
Miaka yote kwa Nini hamkujifunza kwamba kina watu wanaajiriwa wenye vyeti feki? Nakwambia ningekuwa kwenye Hilo kundi nimgekufunga.
Iliniuma sana baada ya kuona walimu wangu wawili na tunashukuru tumewasaidia na wanaishi.
Nyinyi muishi na ushetani wenu.
Jeshi waliondoa vyeti fekiMkuu unang'akang'aka kama umekalia kitu kigumu chenye ncha butu laini kilichonyooka huku umepakatwa na kupapaswa. Jeshini, polisi vyeti feki ni vingi mbona akuwafukuza kazi? Makonda mbona akumfukuza? Yeye mwenyewe kafoji phd. Mnakera sana hamna hata aibu kutetea uovu humu. Lijitu licha ya cheo chake kikubwa linaiba rambirambi. Limekufa limeenda zake na halitarudi tena.
Kwishaaaaaaa
Nyambaf
Qengay nyie hamna hata aibu mijitu mizima mnatetea unjinga na kuita wengine nyumbu. Makonda ana vyeti feki mbona hakumfuza, yeye kafoji phd mbona likujiuzulu, jeshini na polisi wote ni watumishi na vyeti feki kibao mbona hakuwafukuza. Kulikuwa na haja gani sasa la zoezi la vyeti feki kwani waliomtangulia hawakuliona. Ndo maana limekufa kwa aibu. Ni jitu la ajabu kuwahi kutokea kifo chake na nilikitabiri humu limeanda na halitarudi.Jeshi waliondoa vyeti feki
Ameyasema Bungeni kwamba Serikali ilikurupuka kuwafuta Kazi
No , vyeti feki vingi ni vya form four na sio vyeti vya taaluma( chuo)Akamatwe. Yaani ughushi cheti, serkali igundue ili ilikuwa inakulipa kwa taaluma usiyo nayo halafu ikikukamata IKULIPE?
Amejitoa akili aliyesema
Itafika sehemu kubaka akikuibia ukigundua unamlipa
Mbona hakuwatoa polisi na jeshi ?Katika hili hapana. Magufuli alikuwa sahihi.
Tunaweza kumkosoa kwa mengine lakini hili hapana. Tuache kuwa wapuuzi.
Haiwezekani nchi ikawa inaajiri na kulea lea watu waliofoji vyeti na kufanya udanganyifu wa kitaaluma.
Hao wezi walipaswa kushitakiwa na kulipa gharama zote za liabilities walizosababisha.
Walipwe?? MAJIZI yalipwe!? Kweli?