Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli atakufa tena,ila kiukweli mwendazake alikuwa na mambo ya ajabu,leo gambo kasoma upepo wa mama kachenji gia anganiWakati yeye ndo alikuwa anasimamia hilo zoezi kwa mbwembwe na kejeli.
Hakyamama mwendazake anachezea za uso mpaka namwonea huruma. Huyu Gambo hajui kawa mbunge kwa juhudi za udhalimu wa mwendazake?
Kitu kimoja kwa hakika, ikatokea mwendazake akafufuka, atadedi tena fasta kwa spidi ya Mombardier, sio kwa unafiki huu wallah.
Pamoja na unafiki wake,lakini katika hili niko upande wakeGambo akapimwe akili kwanza.
Hata ubunge wake kaupata kwa hisani ya Magufuli. Gambo ni miongoni mwa wanafiki wakubwa ambao hawatakiwi kabisa.
Ukimufurahia Gambo ipo siku atakugeuka na wewe. Yeye si mkweli bali ni mfuata maslahi na mjinga mkubwa.
Daa kweli aisee,Na huyu ndio alikuwa RC wa Arusha wakati huo.
Wapinzani hawako Bungeni, sasa ni lazima wao waseme ukweli mchungu hata kama ukweli huo unawagusa.
Ipo siku watakiri kuwa hata huo ubunge wao ni haramu na wenye busara watakuja kuomba radhi umma wa watanzania.
In short, Magu atakumbukwa kwa uovu mwingi na ni busara WANA-CCM wenzake au wanafamilia wake wakamuombea msamaha kwa watanzania.
Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.”
Pia, soma:
- Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu
- Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania
- Serikali ya Tanzania yasema maduka ya kubadilisha fedha yatafunguliwa baada ya uhakiki kukamilika
- Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT
Halafu sijui kuna ushuzi mmoja unaitwa kamati ya Amani umeibuka na bango la kupiga marufuku asitwe MWENDAZAKEMbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mhe. Mrisho Gambo ameiomba Serikali kuwarejeshea mali na fedha zilizochukuliwa katika maduka ya kubadilisha fedha kwani “wameporwa pesa zao, magari yao, hati zao za nyumba, viwanja, wamewaacha hoi-bin-taaban.”
Pia, soma:
- Arusha: Maduka yote ya kubadilishia fedha za kigeni(Forex) yasimamiwa na JWTZ, wananchi watakiwa kwenda Benki Kuu
- Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania
- Serikali ya Tanzania yasema maduka ya kubadilisha fedha yatafunguliwa baada ya uhakiki kukamilika
- Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT
Hata pablo pamoja na uhalifu wake wa kuuwa watu bado watu na kuwaua na madawa ya kulevya, watu hawakutaka akamatwe
Kwa binadam kufuata sheria kwa hiyari sidhani kama inawezekana.
Minachojua lazima kulikua luna makosa ingawa yanawrza kuwa yalihitaji kupigwa adhabu na kupewa onyo na wakaendelea na biashara.
Kina Chalamila walikuwa wanaenda na upepo wa Mwendazake... mama akawatumbulia mbali...Ni kweli atakufa tena,ila kiukweli mwendazake alikuwa na mambo ya ajabu,leo gambo kasoma upepo wa mama kachenji gia angani
Jamaa Yuko smart sanaSema Mrisho bungeni anasukuma kete vizuriii sana
Kwa kweli wafanyabiashara za kubadilisha fedha walionewa sana , inakuwaje pale Rais mwenye nguvu kubwa sana anapoamua watu wafilisiwe ili hali walikuwa wana leseni halali za kufanyia biashara zao. Inatia huzuni sana kufilisiwa bila ya sababu za kuelewekaNa huyu ndio alikuwa RC wa Arusha wakati huo.
Wapinzani hawako Bungeni, sasa ni lazima wao waseme ukweli mchungu hata kama ukweli huo unawagusa.
Ipo siku watakiri kuwa hata huo ubunge wao ni haramu na wenye busara watakuja kuomba radhi umma wa watanzania.
In short, Magu atakumbukwa kwa uovu mwingi na ni busara WANA-CCM wenzake au wanafamilia wake wakamuombea msamaha kwa watanzania.
ccm wauze malizo wawalipe Zingekuwa zimechukuliwa na TRA tungesema walipweWarudishiwe kutoka kwenye fungu la Serikali (Kodi)? Kwanini wasirudishiwe kutoka kwenye fungu la waliotekeleza huu ujambazi (akiwemo yeye kama RC)
Jamaa Yuko smart sanaSema Mrisho bungeni anasukuma kete vizuriii sana
Niwe mkweli tu huyu jamaa nilikuwa namchukia sana wakati wa wa yule dhalimu mwendazake, lakini ananishangaza sana kwa ujasiri wake pale mjengoni. Amekuwa mwiba mkubwa wa maccm na wasiwasi wangu akiendelea hivi 2025 jina lake litakatwa kugombea jimbo. Nikionana naye nitampa mkono na kumwambia Thank you 🙏🏾 Sir and keep up the good work.
SawPamoja na unafiki wake,lakini katika hili niko upande wake
Huyu mnafiki katumwa na Ridhiwan.Yaan haoni kuwa anajimaliza kabisa kisiasa.Huyu jamaa alipokuwa mkuu wa mkoa wa Arusha ,mara kadhaa alikuwa anagombana na mkuu wa wilaya.Ni mpumbavu sana huyu dogo.Cha ajabu ccm wenyewe wameona jinsi madaraka ya urais yanavyoweza kutumika vibaya, lakini ukisema tubadili katiba ili kupunguza madaraka ya rais hawataki, kwani wanategemea madaraka ya urais kubaki madarakani kwa shuruti.