GE2025 Mrisho Mgambo atupwa kwenye jimbo la Arusha Mjini, Makonda apita kwenye mchujo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanataka kuazimisha ubunge...wadudu akili zao wanazijua wenyewe
 
Ulitaka familia yake uwe unaishi nayo hapo nyumbani kwako? Au na wewe bado unaishi kwa wazazi?
Ni bahati mbaya sana watu wajinga na wapumbavu wanadandia hoja ya mtu bila hata kuelewa mantiki yake. Lakini nitakuvumilia maana uvumilivu ndio msingi mkuu wa majadiliano JF!
 
Safi sana. Dozi ni ile ile 1 *3 ila unaweza kumeza hata 3 mara moja.
CCM wakitesana nafurahi sana
 
Ni bahati mbaya sana watu wajinga na wapumbavu wanadandia hoja ya mtu bila hata kuelewa mantiki yake. Lakini nitakuvumilia maana uvumilivu ndio msingi mkuu wa majadiliano JF!
Kwani kuna sehemu ya katiba inakataza familia ya mgombea urais kuishi nje ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…