Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,140
Tuliwaambia hamna ubavu wa kuizuia Serikali kufanya itakavyo. Wako wapi wapayukaji akina Mwabukusi na wenzake? Iko wapi TEC? Tena TEC kwa unafiki wamehudhuria sherehe za kusaini mikataba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kuonyesha kwamba wengi wetu ni wajinga na wanao watumia pia ni vivyo hivyo.Nadhani CCM inawatumia watu wajinga sana katika kutetea uwekezaji wa Bandari.
Mrisho Mpoto sijui kama abajua ABC za mkataba wa Bandari.Kumtumia mtu mjinga kama Mrisho ni kuonyesha jinsi CCM ilivyokosa maarifa.
Ndio.Hivi kile kiwaraka cha TEC bado kinaendelea kusomwa makanisani kila jumapili?
Mnafki Sana Ndumilakuwili Ana Kijino PembeKafanya nini tena Mjomba?
takataka tangu lini ikawa na ujumbe mzito...wewe nawe i wa hovyo kumbe kiasi hichoNi Kauli ya Msanii lakini imebeba ujumbe mzito sana.
Yawezekana hao 5% waliopelea kwa mujibu wa takwimu za Mpoto ni wale Chadema na akina Mwabukusi.
Sijajua Mrisho Mpoto alitaka kumaanisha nini hasa lakini Ujumbe wake kwa tafsiri yoyote ile ni mzito.
Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
TEC wametudhalilisha sana kwa kupigwa vijembe na wajingawajinga kama huyo mpoto.Waliopinga wapo ikulu wanasubiri ubwabwa, TEC njaa zitawaua
Ma TEC majinga sana unaitwa ikulu unaenda bila kujua unaitiwa nini, uzembe huuTEC wametudhalilisha sana kwa kupigwa vijembe na wajingawajinga kama huyo mpoto.
So sad, haohao waliowaambia wasichanganye dini na siasa ndio waliowaalika kwenye hafla ya kisiasa; hivi ukialikwa huwezi hata kutoa udhuru?Ma TEC majinga sana unaitwa ikulu unaenda bila kujua unaitiwa nini, uzembe huu
Walialikwa ndiyo maana waliendaNi Kauli ya Msanii lakini imebeba ujumbe mzito sana.
Yawezekana hao 5% waliopelea kwa mujibu wa takwimu za Mpoto ni wale Chadema na akina Mwabukusi.
Sijajua Mrisho Mpoto alitaka kumaanisha nini hasa lakini Ujumbe wake kwa tafsiri yoyote ile ni mzito.
Mungu wa Mbinguni awabariki 😀