Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

Mpoto shikilia hapohapo, umejua kuwakera wagalatia
 
Siku hizi wazee hamna busara kwasababu wajinga wengi mmezeeka
Kama wewe ni kijana na unategemea vijana wengine wawe kama wewe, hilo taifa mtakalobaki nalo litakuwa ni taifa la kisanii tupu.
Bahati nzuri, vijana wengi wa Tanzania hawako kama wewe.
 
Kama wewe ni kijana na unategemea vijana wengine wawe kama wewe, hilo taifa mtakalobaki nalo litakuwa ni taifa la kisanii tupu.
Bahati nzuri, vijana wengi wa Tanzania hawako kama wewe.
Punguza kujieleza
 
Sisi hatujamlaumu. Acheni mchezo wa kutumia wingi kuwasilisha mawazo yako. na Tec hivyo hivyo wananchi. TEC wananchi gani iliwatuma?
 
Watu hupendelea kutembelea au kutalii katika mbuga za wanyama tu! Wakati mwingine tufanye utalii kwenye mbuga zisizo na wanyama; huko nako kuna mambo ya kujifunza!

Utalii siyo lazima uangalie wanyama, unaweza hata ukaangalia aina za miti, udongo, majani, nk. Lakini pia huko porini kuna vijito vidogo vidogo na hata vichuguu; hivi vyote vinaburudisha nafsi na roho!

Porini pia kuna aina mbambali za majani; kuna majani membamba, mapana, mafupi na marefu; ni sawa kama sisi wanadamu tunavyotofautiana.

Lakini zaidi ya hapo, majani ya huko porini yanatofautiana uzito; yapo majani mazito (magumu) na mengine mepesi (malaini). Ukiwa porini, na unataka kujua uelekeo wa upepo, majani mepesi yatakuonyesha uelekeo wa upepo, lakini majani magumu hayaelekezi! Kumbe majani malaini hufuata uelekeo wa upepo!
 
Kiburi.... Mungu atawashusha.
 
Hatakama unadhihakiwa ukae tu kisa protocal? Angenyoosha mkono, mc angemfuata na angeomba udhuru wa kutoka,

Hotuba ya mpoto ilipaswa ipitiwe kabla na watu wa protocal sio kujiropokea tu
Ndivyo ilivyo Mkuu kwa Mtu mwenye Hekima na Madili. Lazima ujifunze uvumilivu.

Kingine Fr Kitima ni Katibu wa TEC hivyo ni muandishi mkuu. Angetoka nje nani angeandika habari ya matukio yale? Naamini ameshafikisha habari kwenye Baraza la Maaskofu. Tamko litatolewa soon.
 
Hiv Kwa nini watu nyie hua mnapenda kujukita kwenye udini? Udini udini tuu,! Swala ni hoja za TEC na sio udini. Kutokutaka hoja na kutoa hoja ni sawa inategemea kipindi hicho kama hiyo hoja inamashiko au vip.

Swala la bandari sio sahihi Kwa mtazamo was watanzania wengi kutokana na masharti yaliyomo.

Unadhani Magufuri angepitisha mkataba huo kama ulivyo watu wasingempinga? Inategemea hao TEC wangekaa kimya?

Tusiweke udini kama nguzo ya kuhalalisha mambo ambayo watanzania hatuyataki.
 
Sehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
Naunga mkono hoja. Nilitegemea baada ya maneno ya kifedhuli na yasiyo na sitaha ya Mrisho, Fr Kitima angesimama na kuondoka. Labda kama busara ilimuongoza kumpuuza mpuuzi.
 
Wizara mbili, tatu?
 
Inawezekana kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…