Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

Rudi kwenye uhalisia, serikali walikuwa na maana gani kuficha tukio la kusaini mkataba

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tukisema Raisi ni mhuni aliyejificha kwenye ushungia ,wale chawa watakuambia mama maamaaa pumbafu zao
 
Mrisho Mpoto = CHAWA WA MAMA...
Hizi njaa zinatuaibisha mpaka yule wa mashairi na kujifanya mhenga na mwenye busara kugeuka kuwa NDOROBO...
 
Nimefurahi sana Mpoto alichokifanya...
Hii ilipangiliwa na ikapangilika ilivyotakiwa...
Hawa mbung'o wa TEC hawakutakiwa kujibiwa na serikali bali kudhihakiwa na wananchi wa kawaida kama Mpoto....na kweli waliaadhiriwa na sasa warudi kunywa mvinyo wa bwana na kuwa wapole....
 
Hivi Mrisho Mpoto ni msanii au kuna mamlaka fulani kapewa serikalini??
 
Kwani TEC si wana intelejensia kali kuliko intelejensia yenyewe au? Intelejensia yao imeshindwaje kujua?
 
Mpoki was very right. Kitima ni binadamu tu na ana madhaiifu yoteeee. Wakristu walikuwa na malengo yao.
Je marehemu angekuwa hai wangempinga kama walivyojaribu mama
kipindi kile magufuri anasema Tz hakuna korona akaenda kanisani st. Joseph mapadri wote na masista wamevaa barakowa hukuwepo..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao huwa wanaandaliwa maalum kutoa mipasho kama mzee ropes alivyofanya vitu vyake bila aibu
 
Naomba kuuliza: mbona invitation card ya Rais Mwinyi wa Zanzibar na ya Mufti na ya Dr James Mdee ziko hivo hivo? Na mbona mabango makubwa yakisema kutia sahihi yalikuwa mengi tu yanaonekana tangu huku ane Nane si angeyaona. Au tuseme hivi yeye alidhani kaitiwa nini? Kafanya kitu gani cha mno? Finally, baada ya kugundua ametapeliwa, au baada ya kutukanwa na limpoto, si angetoka nje aende zake? Huyu ni kada wa CHADEMA na ndiye alisema Waarabu watavunja Kanisa letu kongwe la St Joseph eti kupanua bandari. It is over, uamuzi ushapita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…