Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

Mpoto hana sifa tena ya kuwa msanii wa kusherehesha kwenye hafra za kitaifa,analibomoa taifa na kuonyesha amelewa madaraka, waandaji na waratibu wa hafra za kitaifa waachane naye kwa sasa. Ni mzigo kwa uongozi,anamharibia mama uchaguzi uko karibu.
Wakina MPoTo ndio sistimu yenyewe mkuu
 
Huyo jamaa nilimsikiliza na nimiongoni mwa wasanii wanaoikuza fasihi ya Mtanzania lakini kitendo cha kuwakebehi viongozi wa imani nimempuuzia sana...hata kama wangeenda kwa hiyari yao bila mwaliko
 
Huyo msanii asiweza kuimba ila kuongea hana uelewa wowote kuhusu maswala muhimu ya taifa ila yy anangalia tumbo litapata nn
 
Nchi inawahuni Sasa,hawawaogopi/heshimu hata watumishi wa Mungu...wanawazunguka😂😂
 
Kama ni kudhihaki kamdhihaki Kitima na sio Mungu...... Kwani Charles Kitima ndiye Mungu wako?

Charles Kitima kalipwa malipo ya unafiki wake. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Hoja ya TEC hujaielewa bila shaka.

Kwa Mwinyi yalienda Kombo sana mambo pesa ikawa Haina thamani na serikali Haina pesa.

Mkapa alikosea ubinafsishaji na kipindi like wengi hatukujua au hakukua na mwenye uhakika kwamba ule ubinafsishaji hautakua na tija. Mkapa mwenyewe kaeleza kwenye kitabu chake.

Magufuri alichofanya watanzania wengi tunapenda na tunamuunga mkono. Ukiwa na mentality ya omba omba Kila kitu unasema huwez, huo ni ujinga na kutokutaka kutumikisha akili. Magufuri alipambana kuondoa hiyo mentality kichwani mwetu.

Saiz tunarudi kulekule kwenye hatuwez. Wengine wamewwza vip?

Ushikaji na kuoneana aibu ndio kunaleta neno hatuwezi. Mkapa alitaka kumkamata na Mwinyi ila Nyerere akamwambia kama unamkamata huyu, na Mimi nikamate.

Kuna mambo mengi sana. Yatafute uyajue na uyaelewe.
 
Huyu mpoto namuona ni dizaini kama Nabii Tito tu lile ni bwabwa kabisa
 
Walimwalika Dr. Kitima ili wakamsimange, daah! inaonekana hili dili watu wamenyonya asali ya kufa mtu, maana si kwa masimango na makasiriko namna hii.
 
Endelea na kejeli zako utembelee magoti
Mimi nalindwa na Allaah الله muumba wa mbingu na ardhi na ndiye ninayemuabudu peke yake.
Wewe unayeabudu binadamu wanaokula,kulala na kwenda chooni Kisha wakishiba makande wanaandika vijarida vya udaku a.k.a waraka eti kuitisha serikali kama akina Charles kitima wewe na kitima wako ndio mtakaotembelea magoti. Mimi nangoja kufa nikastarehe peponi
إن شاء الله
 
mpoto ni mjinga sana sana. na ccm kama wanaelewa wajue huyu jamaa badala ya kuwaongezea ubora amewabomoa. yeye ni muislam na amemkebehi hivyo mbele za watu padre wa katoliki. anapata wapi ujasiri wa kukebehi imani za watu kwasababu pale ametaja viongozi wa dini waliopinga akimaanisha TEC? hata Samia hajawahi kufanya hicho kitu kwasababu anajua madhara yake, yeye sijui kavuta bange ya wapi anakuja kuharibu hali ya hewa. imebuma sasa, kitima katoa hadi kadi ya mwaliko na hali imerudi palepale kama ilivyokua awali.
 
Sehemu ukivunjiwa heshima unatakiwa kusimama na kuondoka muda huohuo haijalishi alie mbele yako ni nani
kwenye hafla na rais, hata ukishikwa na mkojo hautakiwi kusimama kwenda kukojoa hadi yeye atakapoondoka. kama hujui hilo ujue. akiingia tu mtakaa kwa lazima hadi atakapoondoka.ukisimama utajua hujui.
 
Sahihi sana kaka
 
Kitima amelipwa unafiki wake.
 
Angetumia Intel Katoliki Vatikaniki na siyo anaanza kulia lia au angesepa baada ya kung'amua ni changa la macho.

Sasa hivi ni kama analia lia baada ya kuposwa na mzazi kala mahali. Kilichobakia ni kuhama nyumbani na kwenda kuishi kwa mume.
Charles Kitima amelipwa unafiki wake. Mungu amemuongoza Mrisho Mpoto kumfichua mnafiki Kitima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…