Mrisho Mpoto alaumiwa kwa kumkejeli Padri Kitima Ikulu

Kwahiyo wewe Mungu wako ni Charles Kitima? Manake ndiye aliyedhihakiwa kwa unafiki wake.
 
Erythrocyte leo umeniangusha. Huyu Mpoto alaumiwe kwa sababu gani wakati ni mbwa tu? Hivi unadhani alisema yale bila kuwa na baraka za Samia? Kimsingi Mpoto yeye ni kibaraka mchumia tumbo na anayosema na kutenda yanategemea upepo wa Samia unakoelekea. Ni kama alivyokuwa yule mwanakatihuru Musiba kipindi cha Magufuli. All in all, viongozi wa dini nao watafakari umuhimu wa kwenda Ikulu kila kunapokuwa na tukio. Ni kama kubariki maovu yanayofanywa na serikali. Huwezi kwenda ikulu kwenye kila shughuli za serikali halafu ukajitenga na maovu ya serikali.
 
Charles Kitima ni mnafiki. Alijua kinachoendelea. Hakuna mnafiki anayemaliza vizuri bila unafiki wake kufichuka.
 
Msanii asiye na kipaji hafuatiliwi kama wewe unavyomfuatilia sana Mrisho Mpoto! Ahahahahaha!!!
 
Ilo wazo lako kusema ipo siku tutapigana wenyewe kwa wenyewe lishindwe na lilegee. Huna hekima na busara, umejaa udini. Unadhani nchi hii ni ya wakatoliki na waislam pekee? Peleka ujinga wako mbali. Wasio na dini nao hawatakubali upuuzi wenu
Mjinga wewe unayedhani kila siku tutakuwa daraja la kutangazia amani feki
Ungeanza kutafuta kwanza wewe ujue Mwinyi aliikuta nchi kwenye hali gani. Hadi kuja na "mkuki wenye ncha mbili"

Waulize wakubwa zako nini kiliwapata wakati wa mkatoliki Nyerere. Bidhaa zote muhimu hazikuwepo. Iliitwa miaka ya "hakuna"
Ukitaka sukari hadi uwe na kadi yenye Saini ya balozi na m/kiti wa kijiji. Na unauziwa Kwa mwezi mara moja.
Ukikutwa na dawa ya mswaki unaitwa mhujumu uchumi. Unawekwa kizuizini.

Pamoja na yote hayo,hao wanafiki unaowatetea hawakuwahi kuandika barua yeyote ya kichungaji.
Unajua kwanini?
1. Ni mkatoliki mwenzao.
2. Aliwafungulia mipaka kuagiza bidhaa zote muhimu kutokea Kenya tulipokuwa tumefunga mipaka yetu. Ruhusa hii ilikuwa maalumu kwa maaskofu tuu. Na waliitumia fursa hii vizuri Kwa kuwabatiza waislamu dhaifu waliokiwa na uhitaji kwa kisingizio cha misaada.
3. Alianzisha azimio la Arusha na utaifishaji wa Mali.
Hii aliifanya kwafaida ya kabisa lake. Wakati wao wakisoma na kuwabagua waislamu hadi wabatizwe,waislamu walijikita kwenye biashara. Na wakamiliki Mali nyingi. Hivyo alitaifisha mali zao ili kuwafanya raia daraja la pili.
4. Vijiji vya ujamaa. Aliwakusanyia mapadri na maaskofu watu wenye uhitaji mkubwa kwenye vijiji visivyo na miundombinu yeyote wala huduma muhimu,wakati huo wakatoliki Wana kila kitu kutokea Kenya Ili iwe rahisi kuwabatiza.
We mpiga magoti kwenye benchi huwezi jua haya.
Kukusaidia hebu soma kitabu alichoandika Padri John Sivalon "kanisa katoliki na siasa za Tanzania"
au "kwanini waislamu wanalalamika" vitakusaidia kufungua macho.
 
Hujui unachokipinga wala kukitetea
 
Usinipangie
 
Sasa alimdhihaki mungu au binadamu anaueiywa Kitima? Au kitima siku hizi ni mungu
 
Nimependa uchambuzi wako, niongezee tu hafla kama hiyo haikuwa na sababu ya kualika taarabu, na kama kulihitaji burudani wapo wasanii wasomi kama vicky kamata ni mbunge msoni na afisa habari wa tawa na anajua aongee nini na wakati gani.

Pia ni vizuri waalikwa kuelezwa wanaalikiwa nini ili wawe na hiari ya kwenda au la, huo wito haukuwa wa polisi kuwa usipoitikia utakuwa umetenda jinai,
 
Tuna wasanii wasomi kama mwanaFA, Vicky Kamata, tunaacha kualika hao tunaalika wavuta bangi, hapo usijekuta alilipwa 50m, hata dhima za malkia wanaalikwa akina Elton John na sio snoopy dogdog.

Hapa Zuhura yunus msigwa lazima waachie ngazi, angekuwa Dr Abbas ujinga huu usingetokea, mbona dhima za zanzibar kwa Hussain Mwinyi ujinga huu haupo.

Sasa nakubaliana na Dr Slaa kuwa haya machawa yanachezea kodi zetu.
 
Mpoto toka aanze kuzingatia pesa hajawahi kuwa na akili za kufikiri
 
Daah! Mwanzo wa hii makala umenifanya nicheke sana "eti msanii asiye na kipaji".... Fr.awe na ngozi ngumu ndio siasa hiyo maana makanisa yetu kwasasa yanajihusisha na siasa moja kwa moja, wakiacha mate matendo maovu kuharibu jamii yetu ikiwamo ushoga, ambao unatetewa na baadhi ya makanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…