Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Nenda ukampigie risasi mtoto wa El chapo halafu umwambie hivyo.Very wise advise, this kid should know it wasn't personal, it was business, in Don Corleone voice
Mondi sio ushuzi km wewe ndo maana maboya wenzako wanambembeleza.Kwani asipoenda kuna kitu kitaharibika? Achaneni nae bwana!! Wameenda watu wazito wenye pesa kama mchanga kwahiyo hata asipoenda hakuna kitachoharibika.
Yaani we maelezo yote hayo ya maana aliyotoa huyu uliyem-quote ww unaishia kuandika ka mstari kamoja halafu bila hata kutoa fact..!?? Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga!???
Shule sijaendaYaani we maelezo yote hayo ya maana aliyotoa huyu uliyem-quote ww unaishia kuandika ka mstari kamoja halafu bila hata kutoa fact..!?? Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga!???
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa atapuuzwa.aibu yake yeye Mpoto.Ili mrisho aseme kasikilizwa ...
am better here
hamna maelezo mengine zaidi ya hayo mkuu.Anawa manage kivip Daud. Ebu fafanua kidogo.
usipoenda kwenye masiba wa mtu mnaye fahamiana unaonekana una kasoro kichwani. its our culture na Marehemu hana adauiKwan lazima DIAMOND aende? Mbna wapo wengi hawajaenda lakin mnakazana na Simba..! Hii nchi bwanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu.
Aisee..!Tena ni vizuri asije kabisa ili uchawi wake ufanye kazi vizuri
Nimeona na vishabiki uchwara vyake vimegoma kupost msiba wa Ruge( nina wadogo zangu vichwa panzi vinamshabikiaga huyu sperm donor)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaaah...Wala sijamtaka aende
Hana ulazima wa kwenda ye kama nani labda!!
Msisitize bosi wako asimsikilize mpoto yani asiende msibani ikiwezekana hizi siku aandae tamasha la kimuziki
Nadhani tumeelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Good for you..!
Nadhani hamna post iliyowahi kukukereketa km hiyo?? Nimekujibu kwa kukuonyesha kuwa ligi uliyotaka kwa sasa siitaki lkn midole inakuwasha washaAhahaaaaah...
Ina onekana huyo Diamond anakutia hasira sana aisee..!
Ahahaaaaah...Nadhani hamna post iliyowahi kukukereketa km hiyo?? Nimekujibu kwa kukuonyesha kuwa ligi uliyotaka kwa sasa siitaki lkn midole inakuwasha washa
Sent using Jamii Forums mobile app