University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
Huwezi jua jitihada za Mpoto, maana yawezekana kafanya kama ulivyopendekeza wewe lakini hakufanikiwa...na pia utambue kuwa msanii yeyote ni kioo cha jamii, maana anaweza kuikosoa, kuiharibu, kuielimisha jamii kupitia namna anavyoishi na kufanya shughuli zake.
May be inabidi tu aende kwake aonane nae direct, hapo nakuunga mkono.Nia yake nzuri ila approach yake ni mbovu,huwezi kumwambi mtu kupitia Instgram,namba yake unayo na kwa nini usimpigie au basi nenda kwake mwambie ili uipe uzito ili asiwe na sababu.Vipi je akikuambia hakuiona utamlaumu.
Alikufa Yesu mwenye akili na mtukufu sasa kifo cha mtanzania wa kawaida ambae hata mimi niliyepo huku na beba ma boksi sijawahi kumuona kwa sura japo nimezaliwa na kukulia bongo land. why huu msiba mnataka kuufanya kama kitu so special sana aisee.
Very wise advise, this kid should know it wasn't personal, it was business, in Don Corleone voice
huyu mzee mbona anaonekana hana furaha na alichokifanya..Hata Mimi pia nasikitika kwanini Lowasa kahamia CCM Leo siku ya msiba wa RUGE kwanini asingacha msiba wazike ndo arudi CCM.
Bora ya Maboya yataelea kwenye Maji ila kwa nyinyi mtapiga deki nyumbani kwa DOMONDI.Mondi sio ushuzi km wewe ndo maana maboya wenzako wanambembeleza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha aya mkuu lakini peku peku kuna miba chiniAkili ni kutembea peku peku
Mi ningekua Magu kwa akili kama hizi zenu wa tz ningewatawala miaka yote mbwa kabisa au ningewauza tena utumwani
Wamepata kijiweWaTz tumekosa Kazi za kufanya ndiyo maana tunajadili msiba na kulazimishana kwenda,Kuna mahali tunakwama
Aaah inakera sana mkuu,yaani kila mtu anamjua Ruge
Wanakera kweli , si ajabu hata misiba ya ndugu zao hawaonekanagi hata michango hawatoiAaah inakera sana mkuu,yaani kila mtu anamjua Ruge
WaTz tumezidi unafiki mkuuWanakera kweli , si ajabu hata misiba ya ndugu zao hawaonekanagi hata michango hawatoi
Sent using Jamii Forums mobile app
WaTz tumezidi unafiki mkuuWanakera kweli , si ajabu hata misiba ya ndugu zao hawaonekanagi hata michango hawatoi
Sent using Jamii Forums mobile app