Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Hata Mimi pia nasikitika kwanini Lowasa kahamia CCM Leo siku ya msiba wa RUGE kwanini asingacha msiba wazike ndo arudi CCM.
 
Huwezi jua jitihada za Mpoto, maana yawezekana kafanya kama ulivyopendekeza wewe lakini hakufanikiwa...na pia utambue kuwa msanii yeyote ni kioo cha jamii, maana anaweza kuikosoa, kuiharibu, kuielimisha jamii kupitia namna anavyoishi na kufanya shughuli zake.

Nia yake nzuri ila approach yake ni mbovu,huwezi kumwambi mtu kupitia Instgram,namba yake unayo na kwa nini usimpigie au basi nenda kwake mwambie ili uipe uzito ili asiwe na sababu.Vipi je akikuambia hakuiona utamlaumu.
 
May be inabidi tu aende kwake aonane nae direct, hapo nakuunga mkono.
 
watu wanashobo na platinamz mpaka inaboa, kwani yeyd kawa nani. Yani Mpoto na ukubwa wake wote ule kumbe matope tu kichwani.
Hivi ni wasanii wangapi hawajafika msibani, iwe diamond peke yake!! mpaka inatia hasira kuona mijitu mijinga haiishi.
Ataenda msibani akijisikia, aache shobo maana ndio zinachochea chuki, hata kama mtu alipanga aende anaweza kuahirisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom