Duh tuhuma nzito hizi ujue!Diamond ana masharti kila alhamisi haendi popote zaidi ya kumlala mamaake na hii ni kutoka kwenye chanzo nyeti. Kesho ijumaa au jmosi ataenda msibani.
Umaarufu una gharama zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuheshimu utashi wa watu, utaishi maisha marefu.Wala sijamtaka aende
Hana ulazima wa kwenda ye kama nani labda!!
Msisitize bosi wako asimsikilize mpoto yani asiende msibani ikiwezekana hizi siku aandae tamasha la kimuziki
Nadhani tumeelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuheshimu utashi wa watu, utaishi maisha marefu.
Watakujibu mbona naniliu alienda kwenye msiba wa Marehemu Didas Masaburi na watu walichukulia kawaida tu kwamba hakuna visasi na marehemu?Hivi nyerere angeenda kwenye msiba wa idd amini (kama angekuwepo wakati wa kifo) watu mngemuelewa..
Saa nyingine tuache unafiki..
Kama ulikua unamdis marehem wakati wa uhai kwa nini umpende akifa??
Kwani diamond akienda ndio ruge anaenda mbinguni??
Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuheshimu utashi wa watu utaishi maisha yasiyo na stress.
Jifunze kuheshimu maamuzi ya watu ambayo kimsingi hayakuathiri kwa vyovyote.
Huu wivu na chuki dhidi ya Diamond hauwezi kukusaidia au kukupunguzia maumivu ya aina yoyote.
Ukiwa mkubwa lawama haziishi.Hivi wewe unasema mondi mdogo wako,hivi huna namba yake ya simu ,kwa nini usmpigie ukamwambia ? au basi ili kuifanya ipendeze zaidi mfuate nyumbani kwake mwambie ana kwa ana ,ili yeye mwenyewe asiwe na sababu.Jide ameshafika? Ila diamond ana damu ya kunguni sana hapo anaonekana yeye tu. Siku hizi mpaka misiba mtu anakaa ana angalia nani kapost na nani kafika mitandao ya kijamii inatupeleka wapi.
Mpoto ni mnafki wa kiwango cha chato airport
Kwani kosa lake nn nasibu ? Mbona mi namuona mi mtu mzuri tuHuyu dogo leo amenifanya nitambue, maana halisi ya usemi wa MASIKINI AKIPATA MATAKO ULIA MBWATA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kweli mwisho was Siku hili in funzo,baba yangu alinambia nililia sana siku alipokufa mpwa wangu kuliko mama yangu mzazi maana haikupita hata miaka 3 tangu tupatane na hatukuongea miaka kibao.Hakumsikia Mama yake juzi hapa alisema
Kama kwamba Diamond akienda kwenye misiba anakuwa star watu wanamlilia yeye na kuharibu misiba ya watu kwa kufanya watu walie na kuzimia.. na mengineyo aliyoyasema kumtetea..
Bora aendelee hivyo hivyo kutoenda kwenye misiba..
Mwisho wa siku atajiju..
Huu wivu na chuki dhidi ya Diamond hauwezi kukusaidia au kukupunguzia maumivu ya aina yoyote.
kapeace atakuwa na jibu.Kwenye msiba wa Godzilla mbona hakuombwa kwenda?
Mawazo ya kimasikini na ya kipuuzi.Diamond ana masharti kila alhamisi haendi popote zaidi ya kumlala mamaake na hii ni kutoka kwenye chanzo nyeti. Kesho ijumaa au jmosi ataenda msibani.
Umaarufu una gharama zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri tumzike kipenzi chetu halafu urudi tuendeleze tulipoishiaJifunze kuheshimu maamuzi ya watu ambayo kimsingi hayakuathiri kwa vyovyote.
kapeace atakuwa na jibu.
Na sikuachi hivyo usiniambie nikuache.