Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Acha story za magazeti ya udaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu utaratibu Wa kuombana kwenda msibani umeanza lini....Kwani mlezi wake kasemaje
 
Mpoto tangu ameanza kuwa karibu sana na huyo jamaa wa hapo Dar sijui amekuwaje?

Kwani Diamond ni nani mpaka aombwe kwenda msibani? Ni yule Pastor mfufuzi wa South au?
 
Waafrica tunamatatizo sana, sasa diamond akienda ndio inakuwaje?
Wakazj wote wadar tukienda pale patatosha?
Pia amejuaje? Kama hataenda, kwani wameshazika??
 
Waafrica tunamatatizo sana, sasa diamond akienda ndio inakuwaje?
Wakazj wote wadar tukienda pale patatosha?
Pia amejuaje? Kama hataenda, kwani wameshazika??
Kwani mashindano ya kutafuta kiki yameisha ?
 
Kwa akienda yy diamond [emoji184] chibu D uyo alie kufa ata fufuka?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mpoto tangu ameanza kuwa karibu sana na huyo jamaa wa hapo Dar sijui amekuwaje?

Kwani Diamond ni nani mpaka aombwe kwenda msibani? Ni yule Pastor mfufuzi wa South au?
we unahisi ni nani adi ifikie hatua ya kumuomba.
Na kama si Diamond si chochote kwann mnakesha kwenye page yake mki mhanikiza apost Msiba
 
Anawa manage kivip Daud. Ebu fafanua kidogo.
Inamaana hadi Leo bado hujajuwa kama BABU TALE SALIM SK MKUBWA FELLA wapo chini ya DIAMOND.....? hao Kwa Diamond ni Madalali tu......wala sio-manage.......

Hao jamaa wabaya sana ndio waliochochea beef........ Ya Diamond na Ruge

Unajua chanzo cha Diamond kugombana na Ruge?? Ngoja nikujuze

Diamond baada yakuwa Star alishindwa kuendelea kuwa katika utawala wa Luge Cuz Ruge alimu-impower Diamond kwanguvu zote akiamini Diamond anakua chini yake ili-amtumie.....

Baada ya Diamond kugoma baadhi ya Maagizo ya Ruge akaanza kufanyiwa Figisu Figisu ili amshushe kimziki....... Nyimbo za Diamond zikaanza kubaniwa clouds na baadhi ya Station nyingine ambazo wameungana......na Clouds

Nyuma ya Diamond kulikuwa na akina MSAFIRI JUMA aka Papa Misifa nk......wakamtibulia mipango Ruge ndipo wakina BABU TALE MKUBWA FELLA SALIM SK wakakubali kuwa chini ya Diamond.
 
we unahisi ni nani adi ifikie hatua ya kumuomba.
Na kama si Diamond si chochote kwann mnakesha kwenye page yake mki mhanikiza apost Msiba
Hebu subiri kijana mdogo, kina nani wanakesha kwenye unachokiita page yake? Au umekosea kuniquote?
 
Umegoma kabisa kunielewa mkuu,jaribu kusoma tena nilichoandika,try to read between the lines,mi mbona point yako nailewa na wala sijaipinga?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha The late boss Ruge alikuwa na plan za kum exploit diamond ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…