Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Diamond ana masharti kila alhamisi haendi popote zaidi ya kumlala mamaake na hii ni kutoka kwenye chanzo nyeti. Kesho ijumaa au jmosi ataenda msibani.

Umaarufu una gharama zake

Sent using Jamii Forums mobile app

Daah!! Hii cjaipenda hata km Mtu unamchukia c kwa matuc Hayo, yaani ni zaidi ya matuc, utazani Unauhakika au Ulishawah kumuona, daah imagine ni ww unaambiwa hivyo.. Japo mm c shabiki wa hyo msanii ila cyo Poa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
QUOTE="kapeace, post: 30583189, member: 435481"]Wala sijamtaka aende

Hana ulazima wa kwenda ye kama nani labda!!

Msisitize bosi wako asimsikilize mpoto yani asiende msibani ikiwezekana hizi siku aandae tamasha la kimuziki

Nadhani tumeelewana

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE] Soudybrown mbona unaumia sana diamond kuto kuja
 
Kama yeye ana akili akampatanishe na baba yake kwanza. Akiweza ndio akamzike Ruge kama msiba utaendelea kuwepo.

Sent using my Nokia Torch
 
Back
Top Bottom