Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

Elimu yake ikoje?

Maana sometime watu tunawalaumu bure tu
 
Mjomba toka alipopata NAULI ya kwenda mjini akili imekua fupi ( ndogo kabisa)
 
Hii kilaza, inaongea pumba tu, hv haijuhi kuwa rais ndio amiri jeshi mkuu wa, majeshi ya ulinzi, na usalama!
 
Hivi ni Kwa nini humu Tanzania vilaza ndio wenye sauti kubwa na airtime sana kuliko wenye shule?
 
Huyu jamaa alikuwa great thinker ila siku hizo Kawa mtumwa.
 
Wazee, ukijiona una nyege sana, tafadhali hilo goli usikojolee ndani, haya ndio matokeo ya mijtu punguani kama hili, lile jinga la jf, mwijaku etc.
Bao lile la kulitafuta kwa muda kidogo, linajitengeneza vizuri, mtoto anazaliwa kichwa saafi kabisa.

Watu wa aina hii ni matokeo ya goli za nyege,
Mie nawaambieni..
 
Naona siku hizi Shule Hazina maana Bali kujulikana. Sasa hili suala la DR, CPA,Eng, Mwanasheria, Prof, Mwandishi wa habari hayana maana yeyote, tuwe Jamuhuri ya Mrisho Moto na wasanii
 
Swala muda tu, ipo siku yatamkuta na atakapolia kutakuwa hakuna wakumtetea.
 
...Ili Jamaa ndio maana nilisemaga limeua mke wake kisa lipewe UDC..........Muulizeni yule mtoto wake aliyekuwa anasoma HOPE & JOY Akipotezwa
 
SHIDA NI PALE UNAPOKAA KIMYA BILA KUKEMEA MAOVU. UNAJUA MKUU ASIPOKEMEA MAOVU TAFSIRI YAKE INAKUWA SIYO NZURTI.USIWAACHE WATU WATAFSIRI ISIVYO MAWAZO YAKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…