Mrisho Mpoto: Suala la watu kupotea au kutekwa ni la kiusalama, inamuhusishaje Rais

Sangoma
Sangoma ktk ubora wake
 
Hana akili za kujitegemea na rasta zake zilizoanzia kisogoni.Bloody shenzy!
 
amiri jeshi mkuu ni nani

jamaa anazidi jionesha alivyo mpumbavu kwa kudhani anatetea kumbe ana mkaanga raisi

inawezekana raisi nae akahisi kweli sio jukumu lake akaacha tuendelee kupotea
Amir jeshi mkuu hazururi mitaani kulinda usalama
 
Duh.... hivi anaposikia anaitwa "Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama" anadhani maana yake nini?

Hicho kichwa kilivyo kikubwa na empty, bora akiache nyumbani wahifadhie maji!
Amir jeshi mkuu hafanyi doria mtaani, vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi linda kila mtu
 
Elimu yake ikoje?

Maana sometime watu tunawalaumu bure tu
Elimu haisaidii chochote ikiwa watu wenye elimu wanadai walipuliza mitungi ya gesi na wenye elimu wengine wanaanini,ikiwa maprofesa wanaacha dawa zao za sukari na kufuata kikombe cha mitishamba loliondo kinachotibu kila gonjwa,ikiwa watu wanajua ukimwi unaua na bado wanaufuata
 
Huyu jamaa mbona kipindi cha kikwete alikuwa mpigania haki za watu kwa nyimbo zake? Ilikuaje akabadilika?
Unataka apiganie haki gani?..hebu elezea kiusalama ni namna gani utazuwia watz 70m wasitekane
 
Mlitegemea tofaut na hili alozungumza huyu mpekuaji?
 
umeme wako mdg kichwani
kwani waziri wa ulinzi anatembea na bunduki kulinda usalama

ama waziri wa kilimo anashika jembe kwenda kulima

pandisha umeme wako kichwani
Jambo zuri,so waziri wa kilimo siyo afisa ugani atembelee wakulima shambani na kujibu maswali yao
Rais pia siyo ocd wa kupanga patrol za mitaani... halafu ungekua wewe ungezuwia vipi Kati ya watu 70m wasitekane?..hebu elezea
Nunua solar upate uhakika wa umeme kichwani
 
Amenyimwa elimu na hao anawaowasifia na hajui hilo. Yeye na wenzake ni wasanii na kazi ya wasanii ni kuelimisha na kuiburudisha jamii na kazi yao ilitakiwa kuishia hapo. Siasa haiwahusu.
 
Huyo Mrisho ni mjinga kiasi hiki kweli au ni mlaghai anayepigia pambio watawala tu?

Ina maana hajui masuala ya usalama nchini ni wajibu wa rais pia?

Ina maana hajui vyombo vya usalama vipo chini ya rais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…