Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Mrisho Mpoto ana akili timamu? unadhani kama hajatumwa angethubutu kusema hayo tena Ikulu?Unaweza kuwa Jaji mzuri! Lakini mtu mzima unajiongeza kuwa hili si vema kulisema . Ukitumwa kumchinja mtoto wako can you dare doing that?
Havai viatu ..Mrisho Mpoto ni mganga wa kienyeji
Mrisho Mpoto alichokifanya ni kutimiza mpango uliopangwa na CCM kwa baraka za mwenyekiti wa CCM.Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!