Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 5,010
- 4,083
Wagalatia wamepagawa sana
Uzuri Mpoto Hana time na dini
Uzuri Mpoto Hana time na dini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana haiwezi toka kwa waleviUmedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
Mungu Hana watumishi walevina hilo ndilo nililomaanisha. Maaskofu ni watumishi wa kweli wa Mungu, si wa kudhihaki, tena mbele ya kadamnasi!
Mrisho Mpoto ni mganga wa kienyejiWagalatia wamepagawa sana
Uzuri Mpoto Hana time na dini
Dr Shoo namba 1 hapo KKKT?
Na alaaniwe mileleMpoto ni msanii kama msanii mwingine yoyote, anatafuta pesa halali popote anapoweza kuipata.
Samia alisema akishambuliwa basi anayemshambulia ajue tu chawa wake na wao watamshambulia huyo mshambuliaji.
Tunaweza kuwapa benefit of doubt ikulu kwamba hawakujua kuwa ujumbe utakaotoka mdomoni mwa Mpoto utakuwa vipi, ikiwa zile kejeli ni mpango kamili wa system hilo kwa kweli ni kosa ni sawa na kudhalilisha utu wa maaskofu.
Walivyokuwa TEC wanapaishwa kuwa ni wasomi kweli wana madigirii na masters na maphdTunasubiri tuone TEC watachukua hatua gani baada ya udhalilishaji wa mpoto.
Maana kina Yahaya mbatizaji na ndugu mstaafu walituaminisha TEC ni dude kubwa sana!
Hii nchi ina vituko sana.Walivyokuwa TEC wanapaishwa kuwa ni wasomi kweli wana madigirii na masters na maphd
Ilibidi nikafukue hiyo elimu yao wanayosema kuwa ni wasomi
Kumbe ni upupu mtupu...
Yaani ni aibu tupu kuwaita wasomi, hizi mbung'o kumbe zimesomea bachelor of church management, sijui masters of evangilical catecheses na uharo mwingine usiokuwa na maana yeyeto
Ndio maana wamewaita kuwashomboa, ni mbulula tupu
Nadhani alaaniwe aliyemwita Ikulu kuja kudhalilisha watumishiUmedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
Dude kubwa si wangenasa taarifa za mwaliko wa aina gan?Tunasubiri tuone TEC watachukua hatua gani baada ya udhalilishaji wa mpoto.
Maana kina Yahaya mbatizaji na ndugu mstaafu walituaminisha TEC ni dude kubwa sana!
Yaani mtu aliyesomea HKL ni msomi aliyetukuka anayeweza kuleta msaada kwa Jamii kulinganisha na hizi kondooHii nchi ina vituko sana.
Watu wakishavimbiwa makande wanakuja kuturopokea tu humu.
Unaweza kuwa Jaji mzuri! Lakini mtu mzima unajiongeza kuwa hili si vema kulisema . Ukitumwa kumchinja mtoto wako can you dare doing that?Nadhani alaaniwe aliyemwita Ikulu kuja kudhalilisha watumishi
Huku ndiko laana huwa zinahusudiwaMrisho Mpoto ni mganga wa kienyeji