Mrisho Mpoto utalaaniwa milele na uzao wako kwa kuwadhalilisha/kuwadhihaki walioalikwa Ikulu utiaji wa saini mikataba ya Bandari

Mrisho Mpoto utalaaniwa milele na uzao wako kwa kuwadhalilisha/kuwadhihaki walioalikwa Ikulu utiaji wa saini mikataba ya Bandari

1698490163959.jpeg
 
Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
Laana haiwezi toka kwa walevi
 
Mpoto ni msanii kama msanii mwingine yoyote, anatafuta pesa halali popote anapoweza kuipata.

Samia alisema akishambuliwa basi anayemshambulia ajue tu chawa wake na wao watamshambulia huyo mshambuliaji.

Tunaweza kuwapa benefit of doubt ikulu kwamba hawakujua kuwa ujumbe utakaotoka mdomoni mwa Mpoto utakuwa vipi, ikiwa zile kejeli ni mpango kamili wa system hilo kwa kweli ni kosa ni sawa na kudhalilisha utu wa maaskofu.
Na alaaniwe milele
 
Tunasubiri tuone TEC watachukua hatua gani baada ya udhalilishaji wa mpoto.

Maana kina Yahaya mbatizaji na ndugu mstaafu walituaminisha TEC ni dude kubwa sana!
 
Mnalionea bure hilo papai,limetumwa na limelipwa kwa kazi hiyo. Alaaniwe aliyemtuma asiuone mwaka 2024.
 
Tunasubiri tuone TEC watachukua hatua gani baada ya udhalilishaji wa mpoto.

Maana kina Yahaya mbatizaji na ndugu mstaafu walituaminisha TEC ni dude kubwa sana!
Walivyokuwa TEC wanapaishwa kuwa ni wasomi kweli wana madigirii na masters na maphd
Ilibidi nikafukue hiyo elimu yao wanayosema kuwa ni wasomi
Kumbe ni upupu mtupu...
Yaani ni aibu tupu kuwaita wasomi, hizi mbung'o kumbe zimesomea bachelor of church management, sijui masters of evangilical catecheses na uharo mwingine usiokuwa na maana yeyeto
Ndio maana wamewaita kuwashomboa, ni mbulula tupu
 
Hii nchi ina vituko sana.

Watu wakishavimbiwa makande wanakuja kuturopokea tu humu.
 
Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO!
Nadhani alaaniwe aliyemwita Ikulu kuja kudhalilisha watumishi
 
Tunasubiri tuone TEC watachukua hatua gani baada ya udhalilishaji wa mpoto.

Maana kina Yahaya mbatizaji na ndugu mstaafu walituaminisha TEC ni dude kubwa sana!
Dude kubwa si wangenasa taarifa za mwaliko wa aina gan?

Dude mbele ya Dolariii?
 
Hii nchi ina vituko sana.

Watu wakishavimbiwa makande wanakuja kuturopokea tu humu.
Yaani mtu aliyesomea HKL ni msomi aliyetukuka anayeweza kuleta msaada kwa Jamii kulinganisha na hizi kondoo
 
Mpoto ni msanii na alikuwa pale kufanya usanii so msimlaumu saaaana
Ukweli mchungu…
Sioni kwa nini wengi wanazungumza oh laana itatoka kwa maaskofu n.k
Kubwa ni Kulishangaa kanisa
Mlimkaribisha yule mnayemlaumu kumpokea Askofu Rugambwa hamkujua pale ndio likikuwa kosa la jinai, mwingine alitumwa mpaka Vatican yeye si mkatoliki hamkujua mipango ya adui still… mkaalikwa kwenye hafla bila kuuliza hafla ya nini mkaenda bado.
Msimlaumu mpoto mjilaumu wenyewe..

Kuweni na msimamo
Mna nguvu kubwa ya kuikomboa Tz kuliko mnavyodhani
Jiepusheni na walaghai waongo wezi
Simamieni Haki
Hubirini Injili
Waumini watasikia sauti ya kanisa kuliko vyama vya siasa.
Vyama vya siasa si mkombozi lakini Kanisa linaweza kututoa tulipo..

Mmekosea kubalini makosa muanze upya. WaTz watawasikiliza sio kujitetea
 
Back
Top Bottom