Kurunzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2009 Posts 9,753 Reaction score 10,747 Oct 28, 2023 #41 Tumieni video basi
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Oct 28, 2023 #42 Retired said: Unaweza kuwa Jaji mzuri! Lakini mtu mzima unajiongeza kuwa hili si vema kulisema . Ukitumwa kumchinja mtoto wako can you dare doing that? Click to expand... Sasa Mrisho Mpoto ana akili timamu? unadhani kama hajatumwa angethubutu kusema hayo tena Ikulu?
Retired said: Unaweza kuwa Jaji mzuri! Lakini mtu mzima unajiongeza kuwa hili si vema kulisema . Ukitumwa kumchinja mtoto wako can you dare doing that? Click to expand... Sasa Mrisho Mpoto ana akili timamu? unadhani kama hajatumwa angethubutu kusema hayo tena Ikulu?
airmax JF-Expert Member Joined Oct 14, 2022 Posts 870 Reaction score 965 Oct 28, 2023 #43 johnthebaptist said: Mrisho Mpoto ni mganga wa kienyeji Click to expand... Havai viatu ..
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Oct 28, 2023 #44 Retired said: Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO! Click to expand... Mrisho Mpoto alichokifanya ni kutimiza mpango uliopangwa na CCM kwa baraka za mwenyekiti wa CCM.
Retired said: Umedhalilsha Maaskofu na wengine walioalikwa kwenye utiaji sahihi mikataba ya bandari. kama umetumwa na walitoa mwaliko, basi LAANA itakuandamana MILELE NA WATOTO WAKO/UZAO WAKO! Click to expand... Mrisho Mpoto alichokifanya ni kutimiza mpango uliopangwa na CCM kwa baraka za mwenyekiti wa CCM.