Mrithi wa CHAMA huyu hapa

Mrithi wa CHAMA huyu hapa

homeless1

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
427
Reaction score
950
Anaitwa sadio kanoute mchezaji wa team ya Taifa ya Mali.

Ni 8 na kiungo mshambuliaji hasilia,Asante simba kwa hii Zawadi toka Al Ahly Benghaz.

Karibu msimbazi Kanoute

Karibu msimbazi fundi

FB_IMG_16288571094597338.jpeg
 
Team haifi...tumetumia B21 ndani ya miaka4..Sasa tunataka irudi hiyo hela haraka iwezekanavyo ndani ya muda mfupi😂😂tunajaribu kuona hata kama tunawez kuuza na baadhi ya mashabiki ili tufidie hiyo hela kwa haraka😂😂
 
Hakuna kitu kinachoitwa mrithi wa Chama. Chama Ni mtaalamu wa soka. Wametuondolea furaha yetu na kutuacha na simanzi kubwa sisi mashabiki. Na za chinichini Bwalya naye anasepa kwa Sven.
Wacha inyeshe tuone panapovuja. Mpaka magodoro yatalowa safari hii. Mnufaika pekee na masihara haya ni Ajibu ambaye kiuwezo ni robo tu ya CCC.
Viongozi wajiandae kupokea lawama zangu kwa maamuzi yao ya kuweka pesa mbele. Kama mpira ni biashara na hivi ndivyo muwekezaji anarudisha pesa zake, basi kazi tunayo sisi mashabiki.
 
Umemuuza Manara.....
 
Anaitwa sadio kanoute mchezaji wa team ya Taifa ya Mali.

Ni 8 na kiungo mshambuliaji hasilia,Asante simba kwa hii Zawadi toka Al Ahly Benghaz.

Karibu msimbazi Kanoute

Karibu msimbazi fundi

View attachment 1890752
Kuziba pengo la Chama siyo rahisi kihivyo.

Wanahitaji goal scoring midfielder na siyo hao wanaotengeneza magoli tu.

Kama back up plan wamtafute Rainford Kalaba kwa haraka sana.
 
Hakuna kitu kinachoitwa mrithi wa Chama. Chama Ni mtaalamu wa soka. Wametuondolea furaha yetu na kutuacha na simanzi kubwa sisi mashabiki. Na za chinichini Bwalya naye anasepa kwa Sven.
Wacha inyeshe tuone panapovuja. Mpaka magodoro yatalowa safari hii. Mnufaika pekee na masihara haya ni Ajibu ambaye kiuwezo ni robo tu ya CCC.
Viongozi wajiandae kupokea lawama zangu kwa maamuzi yao ya kuweka pesa mbele. Kama mpira ni biashara na hivi ndivyo muwekezaji anarudisha pesa zake, basi kazi tunayo sisi mashabiki.
Kanjubari anauza wachezaji walau arudishe hela yake hata kidogo wakati wowote ataliacha litimu lenyewe lijifie kelele zimezidi.Mara tunapigwa,mara tunaibiwa. Muda ni mwalimu mzuri wacha tusubiri tuyaone ,wale wanazi mjiandae kwa bakuli la michango
 
Kuziba pengo la Chama siyo rahisi kihivyo.

Wanahitaji goal scoring midfielder na siyo hao wanaotengeneza magoli tu.

Kama back up plan wamtafute Rainford Kalaba kwa haraka sana.
Mkuu serious?
Babu rainford........tuwe serious.
Nilichokiona saiv biashara ya soka Tanzania inaenda kulipuka, wachezaji wengi wenye talent watamiminika na Tanzania inaenda kuwa njia ya talents kutoka kwa majirani zetu wa kusini kufika mbali zaidi. So nadhani wanaweza cheki midfielders wazuri hapo Zimbabwe, malawi na Zambia lakini nadhani bwalya ataziba pengo vizuri tu.
 
Bwalya siyo goal scoring midfielder unahitaji mtu anayeweza kucheap in kufunga magoli kama alivyokuwa anafanya Chama.

Kuondoka kwa Chama na Luis kumepunguza direct goals kama 30+ kwa msimu hii ni damage kubwa sana kikosini.

Rainford Kalaba ana miaka 33 tu sawa na Wawa, Bocco, Nyoni lakini bado ni regular starter pale TP Mazembe kwa uwezo wake bado naamini atakuwa na mchango mkubwa kwa Simba hasa ukizingatia aina ya Football tunayocheza ni ya kutumia akili nyingi nguvu kidogo ataweza kumudu.

Or else wamrudishe Okwi hiyo ni kwajili kurudisha magoli kama back up plan pindi hawa wachezaji wapya hawajakaa sawa.
 
Back
Top Bottom