Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha uongo dada mkubwa,lini majina yamepelekwa?Asa majina si yameshapelekwa CAF? Au huyo ni kwa ajili ya ligi ya ndani tu?
Simba msipokaa sawa huko Morocco mtarudi na makipa tu
Yanga msipokaa sawa huko Morocco mtarudi na mimba tu, Mwarabu kawalipia kila kitu!!!!Simba msipokaa sawa huko Morocco mtarudi na makipa tu
Akuje akuje.. mnyama mkaliAnaitwa sadio kanoute mchezaji wa team ya Taifa ya Mali.
Ni 8 na kiungo mshambuliaji hasilia,Asante simba kwa hii Zawadi toka Al Ahly Benghaz.
Karibu msimbazi Kanoute
Karibu msimbazi fundi
View attachment 1890752
Wanamchekaga onyango wetu mautopoloBado katoto kadogo LY 2018,Simba aina tabia kama Yanga ya kusajili wastaafu wa NSSF kutoka Congo.
Umemuuza Manara.....Team haifi...tumetumia B21 ndani ya miaka4..Sasa tunataka irudi hiyo hela haraka iwezekanavyo ndani ya muda mfupi😂😂tunajaribu kuona hata kama tunawez kuuza na baadhi ya mashabiki ili tufidie hiyo hela kwa haraka😂😂
Kuziba pengo la Chama siyo rahisi kihivyo.Anaitwa sadio kanoute mchezaji wa team ya Taifa ya Mali.
Ni 8 na kiungo mshambuliaji hasilia,Asante simba kwa hii Zawadi toka Al Ahly Benghaz.
Karibu msimbazi Kanoute
Karibu msimbazi fundi
View attachment 1890752
Kanjubari anauza wachezaji walau arudishe hela yake hata kidogo wakati wowote ataliacha litimu lenyewe lijifie kelele zimezidi.Mara tunapigwa,mara tunaibiwa. Muda ni mwalimu mzuri wacha tusubiri tuyaone ,wale wanazi mjiandae kwa bakuli la michangoHakuna kitu kinachoitwa mrithi wa Chama. Chama Ni mtaalamu wa soka. Wametuondolea furaha yetu na kutuacha na simanzi kubwa sisi mashabiki. Na za chinichini Bwalya naye anasepa kwa Sven.
Wacha inyeshe tuone panapovuja. Mpaka magodoro yatalowa safari hii. Mnufaika pekee na masihara haya ni Ajibu ambaye kiuwezo ni robo tu ya CCC.
Viongozi wajiandae kupokea lawama zangu kwa maamuzi yao ya kuweka pesa mbele. Kama mpira ni biashara na hivi ndivyo muwekezaji anarudisha pesa zake, basi kazi tunayo sisi mashabiki.
Mkuu serious?Kuziba pengo la Chama siyo rahisi kihivyo.
Wanahitaji goal scoring midfielder na siyo hao wanaotengeneza magoli tu.
Kama back up plan wamtafute Rainford Kalaba kwa haraka sana.
Bwalya siyo goal scoring midfielder unahitaji mtu anayeweza kucheap in kufunga magoli kama alivyokuwa anafanya Chama.Mkuu serious?
Babu rainford........tuwe serious.
Nilichokiona saiv biashara ya soka Tanzania inaenda kulipuka, wachezaji wengi wenye talent watamiminika na Tanzania inaenda kuwa njia ya talents kutoka kwa majirani zetu wa kusini kufika mbali zaidi. So nadhani wanaweza cheki midfielders wazuri hapo Zimbabwe, malawi na Zambia lakini nadhani bwalya ataziba pengo vizuri tu.