Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

Erick Kabendera ndio reference yako? mawazo yake ni yake, kama unamwamini ni wewe usitake nasisi tuamini. Hata wewe ungeweza kuandika kitabu kama yeye tu.
Ninamuamini kwasababu mpaka sasa hakuna mtu kutoka huko aliyekanusha hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa yuko kimya wakati hizo ni tuhuma nzito sana.

Kwahiyo mimi ni nani nisiamini?
 
Back
Top Bottom