imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 55,997 Reaction score 88,219 Jan 7, 2025 #21 dog 1 said: Erick Kabendera ndio reference yako? mawazo yake ni yake, kama unamwamini ni wewe usitake nasisi tuamini. Hata wewe ungeweza kuandika kitabu kama yeye tu. Click to expand... Ninamuamini kwasababu mpaka sasa hakuna mtu kutoka huko aliyekanusha hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa yuko kimya wakati hizo ni tuhuma nzito sana. Kwahiyo mimi ni nani nisiamini?
dog 1 said: Erick Kabendera ndio reference yako? mawazo yake ni yake, kama unamwamini ni wewe usitake nasisi tuamini. Hata wewe ungeweza kuandika kitabu kama yeye tu. Click to expand... Ninamuamini kwasababu mpaka sasa hakuna mtu kutoka huko aliyekanusha hata aliyetuhumiwa kutaka kubakwa yuko kimya wakati hizo ni tuhuma nzito sana. Kwahiyo mimi ni nani nisiamini?