Mrusi arekodi kwa siri wanawake Kenya akiwatongoza na kumkubali mara moja. Wengine ni wake za watu

Mrusi arekodi kwa siri wanawake Kenya akiwatongoza na kumkubali mara moja. Wengine ni wake za watu

Amefariki yule Baba miaka karibia miwili imepita , Allaah amrehemu amenisadia sana kipindi nasoma .

Sasa hivi kumepoa enzi hizo shule shule kweli Battle ya Vituka Vs Ukombozi zaidi ya Simba na Yanga . Wahuni kibao , machimbo na watoto Sugu.
Aisee poleni sana.

Hapo tulikua tunakuja kupiga mihogo ya shilingi 20/- na mchuzi
Ukifatilia vizuri wengi humu ni majirani ila id hizi ndiyo zinatuficha
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Amefariki yule Baba miaka karibia miwili imepita , Allaah amrehemu amenisadia sana kipindi nasoma .

Sasa hivi kumepoa enzi hizo shule shule kweli Battle ya Vituka Vs Ukombozi zaidi ya Simba na Yanga . Wahuni kibao , machimbo na watoto Sugu.
Miaka ya 2007-2009 niliishi mitaa ya Yombo Vituka kule Mtaa wa Malawi.
Tulikuwa tunavuruga starehe viwanja na bars zote maarufu za mitaa hiyo miaka Ile.
Kwa Jimmy Woodland park, Ikizu, Monie, Sunset, n.k.
Tulikuwa bata hadi Buza Kanisani huko.
Sijui miaka hiyo mwamba ulikuwa wapi umri gani..😃
Kulikuwa na mibasi kuukuu aina ya Tata ya kwa Limboa..au siyo?
 
Back
Top Bottom