Mcmillan de Maghayo
Senior Member
- Dec 6, 2025
- 197
- 438
Mzuka wana jamvi!
Sisi watu tunayoijua kweli watu wa Nuru na dini ya kweli wagalatia tujifiche wapi? Tufiche sura zetu wapi?
Kobaz wamechachamaa balaa huko X, FB na TT.
Mashambulizi kila engo eti wale wanawake waliorekodiwa kisiri na mrusi wote ni wagalatia hamna hata kobaz mmoja.
Wameenda mbali hadi kutucheka mrusi aliingia hadi kanisani na kuopoa.
Wanadai ingekuwa ni mwanamke kobaz kavaa ushungi ama msomali pangechangamka tukisema pork is haram but.
Yani li adriz huko yombo vituka ni full shangwe.
Sasa hivi ni kuwakwepa tu kina hydroxo Makebo Lucha Munch wa Annabelle Adiosamigo mjingamimi Jagina gallow bird
Yesu ingilia kati natusaidie.