Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Ni aibu kubwa kwa wanawake wa Kenya waliorekodiwa kwa siri na mzungu raia wa Urusi kwa siri na kumkubali mara moja na kukutana nao gesti na kuwapelekea moto.
Video hizo ambazo zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii imeleta gumzo.
Cha kushangaza wanawake hao wanatongozwa chini ya dakika moja wanakubali kutoa namba zao na baadaye wanaonekana kwenye gesti na jamaa.
Wanaume wa Kenya wamekasirika na kudai wao inawachukua muda na pesa kumpata mwanamke. Lakini mzungu huyo inamchukua dakika tu na kugonga bure kwasababu ya rangi yake.
Baadhi ya wanawake walionekana kwenye hizo Video ni wafanyakazi supermarket wengine wamekutana barabarani.
Wengine ni wake za watu.
Pia mzungu huyo kafanya hivyo Africa kusini na Ghana na kuposti kwenye mitandao ya kijamii.
Ila huyu jamaa kafanya kosa kuanika hizo Video. Sheria ya faragha kaivunja hajawatendea haki hao wanawake.