Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 11,394
- 21,391
Lazima wapo na waliokataa,ni vile yeye kaamua kuachia videos za waliokubali tu.
Kuna content creator wa kikenya pia hutongoza huku aki-record na kibao tu huwa wana-sign MoU hapohapo!
BTW:Mambo ya konakona yamepitwa wakati,huko ndoani watu ni wapweke sababu ya migogoro isiyoisha.