Mkuu nitaandika kiujumla kwa uzoefu wangu. 1. Majuu (at least kwa sehemu nilizoishi) kwa wanaume wengi tunaotoka Afrika, kupata wale wadada wa kizungu wazuri ni ngumu (wako wanaopata lakini asilimia ni ndogo). Waafrika wengi wengi huishia ku-date na wale wanawake ambao hawana soko kwa weupe wenzao. (wanene, minyama na shape zimepandiana). 2. Weekends usiku clubs zinajaza wateja wengi na wanawake wengi pia huenda. Watu wakishalewa hukuta wanaanza kutongozana. Mara nyingi clubs wanazojaa weusi unakuta ndiko hao wanawake ma-reject wanapenda kwenda, hivyo wanaume wa kiafrika wanakuwa kwenye mawindo. Mwanume anaweza kumtongoza mwanamke au mwanamke akamtongoza mwanaume, lakini kama nilivyokuambia wazuri kwenye maeneo kama haya huwa wachache. Mwanaume hatoi fedha au kuhonga, ni mapendano tu.