Amefariki yule Baba miaka karibia miwili imepita , Allaah amrehemu amenisadia sana kipindi nasoma .
Sasa hivi kumepoa enzi hizo shule shule kweli Battle ya Vituka Vs Ukombozi zaidi ya Simba na Yanga . Wahuni kibao , machimbo na watoto Sugu.
Ukifatilia vizuri wengi humu ni majirani ila id hizi ndiyo zinatufichaAisee poleni sana.
Hapo tulikua tunakuja kupiga mihogo ya shilingi 20/- na mchuzi
NAam mkuu bila shakaUkifatilia vizuri wengi humu ni majirani ila id hizi ndiyo zinatuficha
Ghana wamelalamika wakitaka ashtakiweMkuu ingia facebook na tiktok. Ama Google Russian man on kenyan women.
Sema hajaja tu huyo mzungu! akija utalegea legelegeUnataka kusemaje mkuu?, kwamba mzungu ningekubali dk 1 kama majirani zetu🙄 akuu mimi napenda weusi wenzangu
Miaka ya 2007-2009 niliishi mitaa ya Yombo Vituka kule Mtaa wa Malawi.Amefariki yule Baba miaka karibia miwili imepita , Allaah amrehemu amenisadia sana kipindi nasoma .
Sasa hivi kumepoa enzi hizo shule shule kweli Battle ya Vituka Vs Ukombozi zaidi ya Simba na Yanga . Wahuni kibao , machimbo na watoto Sugu.