Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inawezekana kweli mgonjwa akapona haraka kisa tu eti kuna mtu amemuandikia hapa JF "Upone haraka?"#UponeHarakaLeejay49❤️❤️❤️
Hivi inawezekana kweli mgonjwa akapona haraka kisa tu eti kuna mtu amemuandikia hapa JF "Upone haraka?"
Nauliza tu.
So,ni issue ya kiimani tu ila haina uhalisia right?Nadhani ni kama dua...
Kwani hata ukiandika Get well soon ndio kweli mtu ataget well soon kisa tu hilo neno umeliandika hapa JF?Au ulitaka niandike Getwell soon? 😂😂😂
Ndio moyo gani huo aisee.😂😂😂
Mkuu kuwa na moyo uliopomdeka basiii
So,ni issue ya kiimani tu ila haina uhalisia right?
Kwani hata ukiandika Get well soon ndio kweli mtu ataget well soon kisa tu hilo neno umeliandika hapa JF?
Mimi nilikuuliza ili kujua tu.
Nawapenda sana ndugu zangu, wewe, Leejay49 na wote walio na adabu na utu humu Jf na tunaishi kama ndugu, haijalishi tunapitia mangapi hapa jukwaani.Amina 🙏 Mwenyezi Mungu akawe ngao yake, tunamuombea sana mrembo Leejay49 kwa hii changamoto anayopitia. Naimani Mwenyezi Mungu, atasikia maombi yetu. Na atarudi na nguvu mpya na Imani zaidi.
Jamani Ahsante kipenzi Madame B nakupenda pia sana. Toka miaka ile ya jukwaa la wakubwa. Mungu ni mwema, tuko mpaka leo. Na Leejay49 tunamuombea sana. Tuko pamoja kipenzi changu 🥰🥰🥰🥰🥰
Mungu ni roho nae huchunguza mioyo. Kama mtu ameandika hapa kumwombea lee jay apone haraka kwa moyo wa dhati basi Mungu aonaye rohon hujibu maombi ya huyo mwenye moyo safi. Natumaini umenielewa.Hivi inawezekana kweli mgonjwa akapona haraka kisa tu eti kuna mtu amemuandikia hapa JF "Upone haraka?"
Nauliza tu.
Niliingia nikiwa mdogo sana humu, na ni my Dad ndiyo alinijulisha kuhusu JF. Nikajiunga, nikasahau user ID 😃😃😃 nikaja na hii miaka hiyo.kweli nyie ni wahenga