Ms. Leeyjay Tupo na Wewe

Ms. Leeyjay Tupo na Wewe

Amina 🙏 Mwenyezi Mungu akawe ngao yake, tunamuombea sana mrembo Leejay49 kwa hii changamoto anayopitia. Naimani Mwenyezi Mungu, atasikia maombi yetu. Na atarudi na nguvu mpya na Imani zaidi.
Nawapenda sana ndugu zangu, wewe, Leejay49 na wote walio na adabu na utu humu Jf na tunaishi kama ndugu, haijalishi tunapitia mangapi hapa jukwaani.

#UponeHarakaLeejay49

Manyanza tuko pamoja.
 
Nawapenda sana ndugu zangu, wewe, Leejay49 na wote walio na adabu na utu humu Jf na tunaishi kama ndugu, haijalishi tunapitia mangapi hapa jukwaani.

#UponeHarakaLeejay49

Manyanza tuko pamoja.
Jamani Ahsante kipenzi Madame B nakupenda pia sana. Toka miaka ile ya jukwaa la wakubwa. Mungu ni mwema, tuko mpaka leo. Na Leejay49 tunamuombea sana. Tuko pamoja kipenzi changu 🥰🥰🥰🥰🥰
 
Kwa anaejua atupe update ya hali ya our beloved lee jay. Mungu azidi kumbariki mbaraka wa afya awe mzima. Tunayo shauku ya kusikia kutoka kwake akimshukuru Mungu kwa uponyaji naahidi kukuombea dada lee jay
 
Back
Top Bottom