Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
Kama una watoto wadogo basi hili jina sio geni. Huyu YouTuber sijui amewalisha nini watoto. Wakimuona tu kwenye TV wanaanza kukenua.
Amekuwa msaada kwa wazazi hasa wanapokuwa busy na majukumu ya nyumbani. Ukimwekea mtoto videos zake hata hawasogei walipokaa.
Wapo wanaosema kuna madhara mtoto akizoeshwa kuangalia videos za namna hij kwa muda mrefu- of course mtu yeyote akikesha kwenye screen madhara yanafahamika.
Wasiwasi wangu ni energy aliyonayo....mwanao akiizoea hatakaa aone ucheshi wako.