MSAADA: Afisa Utumishi amegoma kusitisha makato yangu hata baada ya kuwasilisha barua ya kusimamisha makato hayo kutoka benki

Mpe chochote. Watumishi wa Tanzania hawafanyi kitu kama hakuna maslahi kwao
Mshike mkono kidogo
 
Usiongee na huyo Afisa Utumishi kwa mdomo.

Andika barua, kupitia kwa mkuu wako wa Idara. Halafu ifuatilie mkono kwa mkono.

Ukijibiwa kwa barua, ondoka nayo nenda UTUMISHI wuzarani.
 
Duh uyo jamaa roho mbaya sana lkn fresh mwisho wa siku bank si hawazichukui wanakurudishia wewe sio mbaya
 
Next time nenda na kisu akikuambia hawez kuzuia makato mtie bisu la jicho... Huyo hr bwabwa
 
Kazi ndogo sana iyo shida maafisa utumishi wa local wanajimwambafai sana. Kama bado nijulishe kwa details PM
 
hamia Arusha Kwa makonda Hilo ni chaaap wanamaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…