Msaada: Airtel University offer

Msaada: Airtel University offer

Kwa mtazamo wangu airtel ndo mtandao bora kabisa wa mawasiliano kwa sasa kuliko mtandao wowote tanzania,

Kabla ckuwahi kujiunga bt baada ya voda na tigo kuzingua na mb8 nkahamia nyumba kubwa, sa iv raha tu napata dk kibao na mb za kutosha..

Karibun nyumba kubwa wakuu huhitaji univeso bundle
 
daah sie tusiokaa karibu na vyuo tunakomaa tu na mb 8....not fair though.

Hii ya Airtel sio lazma uwe karibu na chuo ukipata ile vocha yao popote pale unajiunga,, kuna ya siku na wiki mi nimeweka ya wiki 1500 ni GB 1 sms za kuzidi na Sipo karibu na chuo,, Mb 8 nazisikia kwa majirani tu
 
tulifikir watatujali kweli wanafunzi kumbe wameamua kutuchinjia Baharini
 
Sanple ya Vocha hizo hapo unapata 2GB 100 mins airtel to airtel 10 mins mitandao yote in 3 days. Ukijiunga ndani ya saa mbili baada ya kifurushi kuisha dakika kifurushi kipys kinajiongeza kwenye kilichoisha kama ulibakisha 60 mins halafu muda ukaisha utakuwa na 160 mins

saa hivi hizo ukijiunga unapata 70mb
 
Attachments

  • 1426070622305.jpg
    1426070622305.jpg
    37.3 KB · Views: 397
Sanple ya Vocha hizo hapo unapata 2GB 100 mins airtel to airtel 10 mins mitandao yote in 3 days. Ukijiunga ndani ya saa mbili baada ya kifurushi kuisha dakika kifurushi kipys kinajiongeza kwenye kilichoisha kama ulibakisha 60 mins halafu muda ukaisha utakuwa na 160 mins
Mkuu hizi vocha zinapatikana maeneo ganiii haswa??
 
Back
Top Bottom